Ujenzi wa nyumba

Dnyamaka

Member
Oct 11, 2022
8
2
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.
Inavyumba vitatu na Choo cha public
UKubwa ni 15*16

NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
 
Attachments

  • IMG_20230819_144052.jpg
    IMG_20230819_144052.jpg
    2.6 MB · Views: 21
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.

NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
Bila kuweka ramani tukajua ukubwa wa nyumba, tutakachokuambia kwa sehemu kubwa kitakuwa ni try and error
 
hakuna usalama mzuri mkuu, nisipo weka magril wataingia kuiba nyaya
Naona kuna banda hapo nyuma kama vile kuna mtu anaishi.
Weka tu nyaya na plumbing, magrill sioni umuhimu wake hapo ka ni kijijini.
Halafu hiyo nyumba sidhani kama ni 15m X 16m.
 
Halafu hiyo nyumba sidhani kama ni 15m X 16mni
Naona kuna banda hapo nyuma kama vile kuna mtu anaishi.
Weka tu nyaya na plumbing, magrill sioni umuhimu wake hapo ka ni kijijini.
Halafu hiyo nyumba sidhani kama ni 15m X 16m.
Ni kweli kunamtu ila shida ni nyakati za usiku atakuwa tayari kulinda na ni lazima alipwe. Ukubwa ntamuuliza fundi ili niwe nauhakika zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom