Makadirio ya ujenzi

Gloriamagret

Member
Jun 12, 2023
47
155
Najenga nyumba yenye ukubwa wa square mita 300.naomba kujua makisio ya mbao za kupaua 2x2 . 2x4. Firsher bod.misumari ya bati.misumari ya kupaua.idadi ya bati za kupaua zenye urefu wa mita 3 nk.idadi ya boks za tiles 40x40.

Garama.za fundi wa kupaua nk.
 
Urefu mita 30 upana mita 10.makisio sahii ya vifaa please.boma limekamilika
Nakupa makadirio ya fascia board tu, hayo mengine tutafutane PM

CASE I: Mfumo wa mapaa manne
Urefu 10m
Upana 30m
Assume overhang ya 45cm

C= (10.45m+30.45m)×2
C= 81.8m
No = 81.8m/ 3.6m = 22.7 (approx 23pcs)

Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 23 za urefu wa futi 12

CASE II: Mfumo wa mgongo wa tembo (gable either sides)
Kama unapaua mfumo wa mgongo wa tembo na utatumia angle ya 45

C=(30.45×2)+ 4*sqrt((10.90/2)²+(5.45)²)
C= 91.7m
No= 91.7m/ 3.6m = 25.4 (approx 26pcs)

Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 26 za urefu wa futi 12 (1x8 au 1x10)
 
boss kufanya mchanganuo wa material yanayohitajika kwenye ujenzi,kwa hatua za:
1.Msingi
2.Boma
3.Kupaua.
4.Wiring and plumbing
5.Finishing.
Gharama yake ni kiasi gani? Ramani tayari ipo.
 
Nakupa makadirio ya fascia board tu, hayo mengine tutafutane PM

CASE I: Mfumo wa mapaa manne
Urefu 10m
Upana 30m
Assume overhang ya 45cm

C= (10.45m+30.45m)×2
C= 81.8m
No = 81.8m/ 3.6m = 22.7 (approx 23pcs)

Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 23 za urefu wa futi 12

CASE II: Mfumo wa mgongo wa tembo (gable either sides)
Kama unapaua mfumo wa mgongo wa tembo na utatumia angle ya 45

C=(30.45×2)+ 4*sqrt((10.90/2)²+(5.45)²)
C= 91.7m
No= 91.7m/ 3.6m = 25.4 (approx 26pcs)

Kama utapaua mfumo wa mapaa manne, utahitaji mbao 26 za urefu wa futi 12 (1x8 au 1x10)
boss nasubiri jibu lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom