Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo.

Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake kuhusu kushiriki katika sehemu zenye mikusanyiko kama kwenye matamasha likiwemo Tamasha la Nyege Nyege linalotarajiwa kuanza leo Novemba 9, 2023.

Aidha, Serikali ya Uingereza imeonya raia wake kutotembelea Hifadhi ya Semuliki na Hifadhi ya Malkia Elizabeth ambapo kulitokea mauaji ya raia wa Uingereza na Afrika Kusini waliuliwa na Wanamgambo wa Allied Democratic Forces (ADF), Oktoba 2023.


#####

UK, US issue fresh security alert on Uganda

The British High Commission in Uganda has warned of “a growing terror threat in Uganda, including targeting of foreigners”, hours after the US embassy issued a similar alert.

Both diplomatic missions on Tuesday warned their citizens against attending large gatherings, including worship activities.

They also cautioned against participation in music and cultural festivals, ahead of the popular Nyege Nyege festival on Thursday.

The UK government has also advised its citizens against visits to the Semuliki National Park and Queen Elizabeth National Park, where a British and South African couple and their Ugandan guide were killed by the Allied Democratic Forces (ADF) militant group last month.

The UK then warned its citizens against visiting the popular park.

Uganda has experienced heightened insecurity in recent months.

Authorities said they had foiled two separate attacks on churches by ADF in September and October.

In June, ADF militants killed 42 people at a school in western Uganda, one of the deadliest ADF attacks in the country.

Source: BBC
 
Dah, mabeberu bana,
yaani ukikataa kuruhusu ushoga tu usalama wa nchi na Raia unakua mashakani dah!!!!
 
Wamejuaje au wao ndio watafanya hilo tukio hawa watu ukiwa kinyume nao lazima wakufanyie kitu siwaamini kabisa
 
Back
Top Bottom