Magaidi ya ADF yakiongozwa na Mtanzania yaingia Uganda

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu.

============

KAMPALA, March 18 (Xinhua) - The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after intelligence reports showed that a group of Allied Democratic Forces (ADF) fighters had crossed into the country from the neighboring Democratic Republic of the Congo (DRC).

Deo Akiiki, Uganda's deputy military spokesperson, told reporters in the Ugandan capital of Kampala that the rebels crossed into the country two days ago, noting that the group is under instruction from the Tanzanian-born ADF bomb expert Ahamed Muhamood Hasssan, also known as Abu Waqas.

Akiiki urged the public to be vigilant, adding that the ADF still seeks to send terror groups to Uganda, especially urban areas, places of worship, schools, and public gatherings.

He said the military has been put on high alert, and the security forces are highly prepared to protect Ugandans from attacks.

The ADF was responsible for the killing of two tourists at a national park in western Uganda and for the killing of at least 40 people, mostly students, last year, according to the Ugandan military.

Uganda and the Congolese troops in November 2021 launched a military operation dubbed "Operation Shujaa" to wipe out the ADF, after it carried out twin bombings in Kampala that killed six people and injured 33 others

english.news.cn
 
Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari.
Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu.....

KAMPALA, March 18 (Xinhua) -- The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after intelligence reports showed that a group of Allied Democratic Forces (ADF) fighters had crossed into the country from the neighboring Democratic Republic of the Congo (DRC).

Deo Akiiki, Uganda's deputy military spokesperson, told reporters in the Ugandan capital of Kampala that the rebels crossed into the country two days ago, noting that the group is under instruction from the Tanzanian-born ADF bomb expert Ahamed Muhamood Hasssan, also known as Abu Waqas.

Akiiki urged the public to be vigilant, adding that the ADF still seeks to send terror groups to Uganda, especially urban areas, places of worship, schools, and public gatherings.

He said the military has been put on high alert, and the security forces are highly prepared to protect Ugandans from attacks.

The ADF was responsible for the killing of two tourists at a national park in western Uganda and for the killing of at least 40 people, mostly students, last year, according to the Ugandan military.

Uganda and the Congolese troops in November 2021 launched a military operation dubbed "Operation Shujaa" to wipe out the ADF, after it carried out twin bombings in Kampala that killed six people and injured 33 others
Noma sanaa
 
Wewe usiwe bendera fuata upepo mwenzio huyu MK254 hata ikitokea umegombana na mkeo ndani atakwambia magaidi ya kiislam yanahusika, kaa jitafakari sio kila alosema yeye wewe kwako ndio,, hiyo ADF na uislam wapi na wapi?? Huyu jamaa itakuwa aliliwa trako na ustadh na ndio maana anawamaind kwa kila jambo.

Hapo utakuta njaa ya swaumu inakutesa huku ukitukana balaa, sijawahi kuelewa unafiki wa hiyo dini yenu, kwenye huu mwezi ndio huwa mnatukana mara kumi, mna ushetwani mwingi yaani.

ADF: Lifahamu kundi la waasi kutoka Uganda linaloshirikiana na Islamic State​

Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa muda mrefu limekuwa ngome ya shughuli za waasi ambapo mizozo hiyo husambaa hadi nchi majirani za Rwanda, Burundi na Uganda.
Kati ya makundi yenye sifa mbaya zaidi yanayoendesha shughuli zao huko ni lile la kutoka nchini Uganda la Allied Democratic Forces (ADF).
Kundi hilo la Kiislamu liliundwa miaka ya 1990 na mara nyingi lilihusika na mizozo ya ndani na taifa la Uganda. Lakini baada ya kuibuka nchini DR Congo, shughuli zake zemechukua mkondo wa kundi la jihadi huku mashambulizi yake mengi yakidaiwa kutekekelezwa kwa jina la kundi la Islamic State (IS).
Washambuliaji wa kujitoa mhanga jana Jumanne waliulenga mji mkuu wa Uganda Kampala, na kuua takriban watu sita na kujeruhi wengine zaidi ya 30. IS ilitoa taarifa kwenye kituo chake cha Telegram, kisha kuripotiwa na Shirika lake la Habari la Amaq, ikisema kwamba wanachama wake walifanya mashambulizi hayo.
 
Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu.

============

KAMPALA, March 18 (Xinhua) - The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after intelligence reports showed that a group of Allied Democratic Forces (ADF) fighters had crossed into the country from the neighboring Democratic Republic of the Congo (DRC).

Deo Akiiki, Uganda's deputy military spokesperson, told reporters in the Ugandan capital of Kampala that the rebels crossed into the country two days ago, noting that the group is under instruction from the Tanzanian-born ADF bomb expert Ahamed Muhamood Hasssan, also known as Abu Waqas.

Akiiki urged the public to be vigilant, adding that the ADF still seeks to send terror groups to Uganda, especially urban areas, places of worship, schools, and public gatherings.

He said the military has been put on high alert, and the security forces are highly prepared to protect Ugandans from attacks.

The ADF was responsible for the killing of two tourists at a national park in western Uganda and for the killing of at least 40 people, mostly students, last year, according to the Ugandan military.

Uganda and the Congolese troops in November 2021 launched a military operation dubbed "Operation Shujaa" to wipe out the ADF, after it carried out twin bombings in Kampala that killed six people and injured 33 others

english.news.cn
Bado na magaidi ya Al shabab yakiongozwa na makenya
 
Back
Top Bottom