Uganda: Magaidi wa ADF wauawa na watoto mateka waokolewa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa wamewahishwa kwa mabikira.

=========

Three rebels were killed, and eight individuals, including five children and three women, were rescued in the ongoing joint operation, Operation Shuuja, led by the Uganda Peoples’ Defense Forces (UPDF) and the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) against Allied Democratic Forces (ADF) rebels in eastern Democratic Republic of Congo (DRC).

Major Bilal Katamba, the Public Information Officer of the UPDF Mountain Division and Operation Shuuja, confirmed the successful operation. The rescued individuals, abducted during an ambush on a bus traveling from Kamanda to Beni on November 5, 2021, are now receiving treatment after being rescued from the West bank of River Lunah in Matunguru Valley, North East of Maitatu, Irumu territory, Ituri Province in Eastern DRC.

The joint forces also recovered an RPG bomb and various medicines used by the ADF rebels during the operation. Pursuit operations are ongoing to apprehend rebels still on the run, following their expulsion from Mwalika Valley late last year.

President Museveni, in his security address on January 9, called on the ADF rebels to surrender, emphasizing the UPDF’s commitment to persist in operations against them. He highlighted the rebels’ lack of understanding of warfare and the military’s capacity.

Uganda commenced operations in eastern DRC on November 30, 2021, following approval from President Felix Tshisekedi to conduct a joint operation with FARDC. Operation Shuuja, initiated on the same day, marked its second anniversary on November 30, 2023. Headquartered in sector four at Luna in the Ituri province, the operation has significantly impacted the fight against ADF rebels, resulting in the elimination of hundreds.

The joint forces continue to track down and neutralize surviving ADF rebels who have dispersed into smaller groups across the last three sectors.

Poleni akina Accumen Mo mizoga yenu inazidi kukusanywa.
 
Pinga ata kidogo ugaidi ,
Yani wewe ata wale mashehe magaidi waislamu waliohukumiwa kunyongwa mpaka kufa inawezekana unawatetea
Mwamposa kaua watu wangapi pale Moshi kafungwa ...Yule mkenya kaua watu wangapi...kibwetele kaua wangapi?
..Tb joshua kaua wangapi?

Ile ni hukumu kuna rufaa kaangalie walishikwa mwaka karibia wa 10 sasa hamna jipy kama sio urongo...
 
Pinga ata kidogo ugaidi ,
Yani wewe ata wale mashehe magaidi waislamu waliohukumiwa kunyongwa mpaka kufa inawezekana unawatetea
Ni kawaida kabisa kwa kafiri kuwa na chuki kwa waislam wala usijiskie vibaya. Watu wa jahannam hata siku moja hawawezi kuwakubali watu wa Jannah.
We siku ukiona muislamu anapendwa na kafiri basi ujue huyo sio muislamu sawasawa .

Nyie ndio wale mkiona mtu kavaa kanzu tu tayari tumbo zenu zinaanza kujamba. Ukute kumbe huyo aliyevaa kanzu ni Joseph anaenda zake kilabuni kupiga Kiroba.
Ukafiri mzigo hatari.
 
Ni kawaida kabisa kwa kafiri kuwa na chuki kwa waislam wala usijiskie vibaya.
Unajua chuki ,msome Allah
Koran 9;23. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri (wasio waislamu)kuliko Imani (uislam)...
 
Yupo wapi max shimba ministry? Mwisho wako unakaribia ...Yaani unatafuta habari za waislamu kutwa tu kweny viblogs uchwara😃😃

Hehehehe Naona hoja zimekushinda umeishia kutishia watu humu, mtaambiwa kama ilivyo, wakanye hao ndugu zako kufanya ugaidi la sivyo wataendelea kufa, umeona wanavyouawa Gaza, sasa na huku Afrika wanauawa pia, na hatutakoma kukumbushia, uzuri naleta habari na kuweka chanzo kabisa.

Huyo Max sijui nani, simjui na sina muda wa kumjua, kama mlimuua mtajua wenyewe, kila mtu anaingia humu JF kujadili kwa uhuru almradi havunji sheria au kanuni za JF, na hapa tayari umevunja kanuni kwa kuanza kutishia watu humu hivyo natumai Moderator is taking note.
 
Sasa sioni hoja zako ...Kutwa hujiamini unakija na habari uchwara 😂😂
 
Sasa sioni hoja zako ...Kutwa hujiamini unakija na habari uchwara 😂😂

Habari naleta na kuweka chanzo kabisa, kama una tatizo fuata chanzo cha habari na kubishia huko, kwa mfano hapa nimeleta habari za magaidi wenu wa ADF kuuawa, kama hauamini wameuawa, kafuate na kubishia huko.
 
Ni uongo unatoa kwa wasambaza chuki wenzio
.. Uislamu unakuwa mkubwa mpaka Marekani nchi nyingi mnakuwa na wasiwasi india mpaka wanavunja misikiti ila wapi😂😂china wanavunja nao pia .
 
Ile ni hukumu kuna rufaa kaangalie walishikwa mwaka karibia wa 10 sasa hamna jipy kama sio urongo...
Mashehe magaidi wale wa Arusha lazima wale kudu ya shingo

Yani watu mpo na ibadi lenyewe linarusha bomu , tena wangenyongwa adharani ingekuwa fundisho kwako gaidi unae chipukia Accumen Mo na mwenzako Bwana Utam
 
Ni uongo unatoa kwa wasambaza chuki wenzio
.. Uislamu unakuwa mkubwa mpaka Marekani nchi nyingi mnakuwa na wasiwasi india mpaka wanavunja misikiti ila wapi😂😂china wanavunja nao pia .
India kuvunja ni sawa ata china wanaivunja , kukaribisha waislamu umekaribisha kutokuwa na amani
 
Ni uongo unatoa kwa wasambaza chuki wenzio
.. Uislamu unakuwa mkubwa mpaka Marekani nchi nyingi mnakuwa na wasiwasi india mpaka wanavunja misikiti ila wapi😂😂china wanavunja nao pia .

Nimekuambia kama taarifa ni za uwongo, nenda kabishie kwenye chanzo, nimeweka hadi source.

Kuhusu uislamu kukua hiyo sio issue kwangu maana mlishatabiriwa, hizi zama shetani anafanya kazi kwa kasi kubwa maana siku zake chache, Wakristo wengi wanajiunga freemason, uislamu na kote, atakayevumilia hadi mwisho atapona.
 
Gaidi kapiga watu 8 risasi huko Marekani

Angekuwa muislamu angeitwa gaidi😂👇👇

View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1749588609488093591?s=19
 
Yupo wapi max shimba ministry? Mwisho wako unakaribia ...Yaani unatafuta habari za waislamu kutwa tu kweny viblogs uchwara😃😃
Max Shimba yupo na Ministry yake inazidi kukua. Hapa umeandika kitu cha hovyo na cha kukera. Ulitegemea kuwa Max amefanya nini? Wapuuzi kabisa nyie na kujitungia. Allah hana lolote lile jiwe jeusi la Maka mnalolibusu na kulichungulia halina chochote.
 
Back
Top Bottom