Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,014
- 32,463
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wakipata maelezo ya maendeleo ya uchimbaji wa gesi asilia nchini Tanzania walipotembelea makao makuu ya British Gas (BG Group), ambayo imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mkoa wa Pwani na Mtwara.