Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Bora Mimi sikuaribu kura yangu
Alienda kuomba msaada wa kufundishwa namna ya kupunguza kuzaana. Mana wabongo km wanyama utashi wa kuzuia mimba mpaka tutoe uingereza. Wao wameweza kupitia kukameruniana sa nass nadhan ndio elim tutakayopewa.Walialika mawaziri wa afya sasa yeye kilichompeleka nini?
Ivi inawezekana kitendo cha kuweka makao makuu ya inji a.k.a nchi mkoani dodoma kinamausiano yoyote na KUOMBAOMBA kwa viongozi wataifa letu?Nadhani ziara nyingine atapokelewa na Balotelli
Kwani ndani ya mwaka huu kaenda mara ngapi UK? Baada ya hapo tafakari mwenyewe kwa nini kafanyiwa hivo
Hivi si UK ndiko alihongewa Suti? Jamaa wanamdharau tu.
unapenda kuwa na mkuu wa nchi wa kupokea wageni tu! Wenzio wana mambo ya msingi ya kufanya. Mgeni wa kila siku nae mgeni gani?rais wetu mpendwa, mkuu wa nchi, amiri jeshi, mwenyekiti wa chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea uingereza, alitakiwa alakiwe na mwenyeji wake waziri mkuu au malkia! Lakini cha ajabu rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!
naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza stephen o'brien akiwa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, amiri jeshi mkuu, ndg jakaya kikwete.
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!
Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
Gesi ichimbwe Tanzania,
Maendeleo ya uchimbaji uende na kontena la watu kupata maelezo Uingereza?
Kikwete alizaliwa saa ngapi?
Hapana; Kulakiwa AIRPORT ni EITHER FOREIGN AFFAIRS MINISTER or HIS ASSISTANT kwa sababu Marais wengi
Walikuwa wanahudhuria Mkutano huo; Sio Waziri Mkuu au Malkia anakwenda AIRPORT hiyo ndio PROTOCOL
Hata saa Nyingine Tanzania wanafanya hivyo kama ni Marais zaidi ya 2 wanawasili Tanzania; Membe ndie atakuwa
Airport Kuwapokea - THAT's the PROTOCOL
Mkuu wangu Mungi. Mapokezi ya wageni kwa wenzetu wa nchi kubwa ni tofauti na sisi. Siku hizi hawaendi viwanja vya ndege kuwapokea wageni wao,wanapokolewa na maofisa/mawaziri ambao wanawasindikiza mpaka Ikulu ambako wanakutana na mwenyeji wao. Na hii ni kama ni mwaliko rasmi. Ni nadra sana siku hizi kiongozi kuwepo uwanjani kumpokea mwenzake. Ziara zao ni za kikazi zaidi siyo kama sisi ambao watawala wanaenda kuzurura na kustarehe!
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!
Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
Huu ni mwaka wa Saba jk hajawahi kualikwa ofisi ya waziri mkuu wa uk wanakutana kwenye korido za kumbi za Mikutano tuuMkuu haikuishia kwenye mapokezi tu, naibu waziri alibaki kuwa mwenyeji kwa mpendwa wetu.
Inategemea na mambo yafuatayo
1) Either wamekuchoka kutokana na kwenda kila siku na propaganda zilezile
2)Ni jambo la kawaida kimila za kule.
3)Waziri mkuu wao anashughuli nyingine muhimu za kitaifa au hayupo
Ila Malkia kukupokea usahau milele labda mkachumbie kwenye familia yake.... Chagua moja kati ya hayo