Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.
Hebu acheni kuwa vichwa maji humu jf, kagame na museveni nao Wako kwenye hiki kikao hebu tuonyeshe wapi walilakiwa na malkia au camerun? Km huna ushahidi utakuwa umejiaibisha mwenyewe na washwa washwa wenzako wote

Nafikiri hizi picha mbili hapa chini zinajieleza!

uingereza5.jpg

Paul-Kagame-and-Gordon-Brown.jpg

Walialika mawaziri wa afya sasa yeye kilichompeleka nini?

Kuna kitabu kimoja cha mfalme Juha niliwahi kuisoma. Mfalme Juha alikuwa mwamuzi wa kila kitu, waziri yeye, hakimu yeye, polisi yeye, waziri wa afya yeye, I mean he was everything. Sina hakika kama mkuu wetu, rais wetu mpendwa ndiko anakoelekea au wenzetu wanamdhalilisha kwa makusudi.
 
Jamani huyu ni NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO!!! can you imagine!!!! Rais Mkuu wa Nchi na NAIBU WAZIRI...ni sawa na kulinganisha mlima na Kichuguu...kwa nafasi ya vyeo ila sasa kwa hapa ni tofauti...aibu saaanannnn...jamaa akiondoka madarakani nadhani tutakua tumepata somo kwamba sio kila mvaa kanzu ni sheikh..
 
Na wangeweza wangemrudishia airport tu hana thamani .kwake anakuacha na migomo kibao anakwenda kujinafikisha kama vile anadhani hawafahamu kinachoendelea ikiwa wanamsanifu tu. Hatumii akili kabisa huyu baba kikwete
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Hii siyo official visit! ni lazima ujue kutofautisha. Hajaalikwa na Prime minister bali na shirika kwenye mkutano!

kama ni hivyo angepokewa na wakuu wa shirika lilimualika na siyo kiongozi mdogo wa serikali.sawasawa?
 
akiarikwa mgeni rasmi kuchangia ujenzi wa sekondari za kata huku kimanzichana anasema hana muda, ila kuhudhuria mikutano isiyomuhusu UK ,muda ndio anao ,haya ndio malipo yake. Na bado ipo siku atapokewa na mke wa diwani wa Uk.
 
tuwe na uhakika na tunachokiandika. Kuna tofauti kubwa kati ya kwenda nchi nyingine kuhudhuria mkutano, mazishi, sherehe za uhuru nk na ziara ya kiserikali. Ukienda kwenye mkutano kwa vile wanakuwa wengi unapokewa na waziri hata hapa wanapokuja wengi huwa wanapokewa na mawaziri au maofisa waandamizi wa mambo ya nje. Ziara za kiserikali zinaandamana na mapokezi rasmi na mwenyeji kupigiwa mizinga, dhifa nk. Pili una uhakika hapo ni airport sio hotelini huyo waziri alimfuata kwa mazungumzo? bora kuuliza ili ufahamishwe.
 
hata huyo naibu waziri bado ni heshima kubwa sana kwa DHAIFU, nilitarajia atapokelewa na mwenyekiti wa kitongoji huko UK kama wapo, au angepokelewa na kiongozi wa tawi la CCM huko UK, ndo hadhi yake,
 
He was born mentally slave and he'll die slave worshiping white folks clinging on there dicks
 
tuwe na uhakika na tunachokiandika. Kuna tofauti kubwa kati ya kwenda nchi nyingine kuhudhuria mkutano, mazishi, sherehe za uhuru nk na ziara ya kiserikali. Ukienda kwenye mkutano kwa vile wanakuwa wengi unapokewa na waziri hata hapa wanapokuja wengi huwa wanapokewa na mawaziri au maofisa waandamizi wa mambo ya nje. Ziara za kiserikali zinaandamana na mapokezi rasmi na mwenyeji kupigiwa mizinga, dhifa nk. Pili una uhakika hapo ni airport sio hotelini huyo waziri alimfuata kwa mazungumzo? bora kuuliza ili ufahamishwe.

Issue ni kwanini mkuu wa nchi apokelewe na naibu waziri? Je, itifaki imezingatiwa?
 
Ha ha ha!!!that's so good!!mtu gani hachoki kila siku kwenda kwa watu?safi sana!!
 
Hahaha, mwenzenu alizoea nyumba ya tatu wakipiga mdundiko ni lazima aende, nyumba ya saba wanamtoa mwali yumo. Ndio makuzi yake. Huko tena wanamshangaa.
 
Issue ni kwanini mkuu wa nchi apokelewe na naibu waziri? Je, itifaki imezingatiwa?
ndio imezingatiwa sana. narudia tena issue sio mkuu wa nchi issue ni anakwenda kufanya nini? akienda kutalii mkuu wa nchi akampokee, akienda UN mkuu wa nchi akampokee? hapana haiendi hivyo nasema hata hapa wakija kwenye kikao mfano cha sadc Rais hawezi kwenda kuwapokea wote. ndio itifaki ilivyo
 
ndio imezingatiwa sana. narudia tena issue sio mkuu wa nchi issue ni, akienda kutalii mkuu wa nchi akampokee, akienda UN mkuu wa nchi akampokee? hapana haiendi hivyo nasema hata hapa wakija kwenye kikao mfano cha sadc Rais hawezi kwenda kuwapokea wote. ndio itifaki ilivyo

Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Jk kaenda kutalii?
Nchi imekumbwa na matatizo lukuki yeye anafanya ziara zisizo na lazima halafu tunajivunia kuwa na Jk?
 
Inategemea na mambo yafuatayo
1) Either wamekuchoka kutokana na kwenda kila siku na propaganda zilezile
2)Ni jambo la kawaida kimila za kule.
3)Waziri mkuu wao anashughuli nyingine muhimu za kitaifa au hayupo
Ila Malkia kukupokea usahau milele labda mkachumbie kwenye familia yake.... Chagua moja kati ya hayo
 
Mkuu zote zinamlenga mkuu wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom