Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wakipata maelezo ya maendeleo ya uchimbaji wa gesi asilia nchini Tanzania walipotembelea makao makuu ya British Gas (BG Group), ambayo imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mkoa wa Pwani na Mtwara.
 
Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI), Bi Josephine Mwankusye na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Afya ya Mzazi na Mtoto katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Neema Rusibamayila.
Hao ndo watu pekee waliotakiwa kwenda kuhudhuria iyo conference.
Hata waziri si stahili yake!
Ndo iwe Vasco de traveller JK?
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wakipata maelezo ya maendeleo ya uchimbaji wa gesi asilia nchini Tanzania walipotembelea makao makuu ya British Gas (BG Group), ambayo imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mkoa wa Pwani na Mtwara.
Gesi ichimbwe Tanzania,
Maendeleo ya uchimbaji uende na kontena la watu kupata maelezo Uingereza?
Kikwete alizaliwa saa ngapi?
 
Nina miezi michache kabla ya kuikana uraia wa tanzania,
itasaidia machungu kupoa.
 
JK kajitakia mwenyewe,wacha aendeleee kudhalilika,na ashukuru huyo naibu waziri kampokea,siku si nyingi ataanza kupokelewa na makundi ya malaya,mashoga na wasagaji.
Arudi nyumbani haraka sana aje kuhudumia watanzania.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Now I understand why there are more lunatics out of the asylum than in! Hakuna ulichofundisha ambacho forumites hawaelewi bado.....
 
Mkuu Mungi ukiweka proof ya hili( Kagame na M7) kupokelewa na Daud mwenyewe,,then nitasema jambo
Sema we ndo hujui! Kagame na Gordon Brown kabla hajondoka ofisini
Gordon+Brown+Meets+Rwanda+President+Paul+Kagame+G1GOzf552D3l.jpg

Paul-Kagame-and-Gordon-Brown.jpg
 
Hata mimi mgeni anayekujakuja kwangu mida ya kazi na bila mpango anapokelewa na 'kijana wa bustani' . Kwa trend hii bwana mkubwa ipo siku atapokelewa na 'Makatibu tarafa' wa huko anakopenda kwenda kubuz buz
 
Kwani ndani ya mwaka huu kaenda mara ngapi UK? Baada ya hapo tafakari mwenyewe kwa nini kafanyiwa hivo

:nerd:Yeye JK ni nani kwanza apokelewe na Malekia ? Anafikiri kwa sababu ni Rais loooooh wangereza wanajua Rais hovyo. Mwl, Nyerere alikua mzee wa Heshima sio Mzaramo ambae ajali wananchi wake anawaua kimafia. Wagereza wanamkebe tuu MWIZI mkubwa.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

watu wengine bwana kujitia wanaelewa haraka matokeo yako mnatoa majibu katika maswali ambayo hamjaulizwa. Jamaa kalalamika alliyempokea ni waziri wa maendeleo ya kimataifa na siyo mkuu wa nchi wala mkuu wa serikali. Sasa unapokuja na mifano ya kina obama na camerun ni kumpotosha mlalamikaji. Ila angelalamika kuwa kpokelewa na waziri mkuu ndipo ulistahili kumpa huo mfano wako.
 
Ndo mshauri wa rais huyo!
 
Mungi,
Nafikiri hujui masuala ya protocol kwa nchi ya Uingereza. PM haendi airport kupokea wageni wake. Nitafutie hata picha moja ambayo rais wa nchi amepokelewa na PM airport. Kiongozi yeyote anapofika hupokelewa na watu wa ubalozi wa nchi yake pamoja na viongozi wa wizara ya mambo ya nchi za nje.

Bwana Rweyemamu, kwani ile picha pale ni airport?
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa British Gas (BG Group), Sir Frank Chapman (wa pili kulia) na maafisa waandamizi wa kampuni hiyo. BG Group imewekeza kiasi cha Pauni 80 za Uingereza (Shilingi Trilioni 125) katika mradi wa kuchimba gesi asilia nchini Tanzania, na tayari visima vitano vya nishati hiyo vimeshatema gesi nyingi katika bahari kuu kusini mwa Tanzania maeneo ya Mtwara. Hii ilikuwa ni ziara fupi katika makao makuu ya BG Group mjini Reading, Uingereza ambako Rais Kikwete na ujumbe wake walitembelea Julai 11 kujionea namna kazi za uvumbuzi wa gesi asilia unavyofanywa na kampuni hiyo yenye kufanya shughuli zake katika nchi 21 katika mabara matano, ikiwa na jumla ya wafanyakazi 6,000.

Kati ya hao watu waliokaa hapo mezani - upande wa Tanzania, nani ni mtaalam wa mambo ya gas?
 
Akufukuzaye hakwambii toka. Achanganye na zake, mpuuzi mkubwa huyu. Rais mzima unakwenda kushughulika na maswala ya kuzaa ili iweje? Kwani hakuna watu kwenye wizara inayoshughulikia maswala hayo ambao wangeweza kumwakilisha? Ngoja wamdhalilishe akome na utembezi wake.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
Nimeshtuka nimefikiri kamerun kampenda....anyway hata mimi huwa wageni wa mazoea huwa nakaa chumbani nasema waambie amelala katoka kazini amechokam kumbe nimemchoka mgeni....dhaifu ni dhaifu
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Hebu acheni kuwa vichwa maji humu jf, kagame na museveni nao Wako kwenye hiki kikao hebu tuonyeshe wapi walilakiwa na malkia au camerun? Km huna ushahidi utakuwa umejiaibisha mwenyewe na washwa washwa wenzako wote
 
Kati ya hao watu waliokaa hapo mezani - upande wa Tanzania, nani ni mtaalam wa mambo ya gas?

yaanii ukiangalia hii picha kaka ni hasira nyingine, utaona upande wa watanzania wapo serious wana note book na zipo mbele kwa ajili ya kuandika lkn upande wa UK top at the middle hawana karamu wala note book ni kama wamekuja kuyeyusha tu na wenzao wa pembeni wameweka na note book pembeni hiyo inaashiria wao hawana la kuchukua kutoka kwa ujumbe wa Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nakumbuka enzi za shule kulikuwa na wimbo unaimbwa...Mgeni siku ya kwanza mpe wali na samli..(Bahati mbaya sikumbuki beti zake). Ila kumbukumbu yangu, haukuwa ukimtakia mema sana mgeni huyu pale inapofika siku ya kumi!
 
Hii sio ziara rasmi kwa mwaliko wa serikali ya Uingereza bali ni wageni wa taasisi anayoandaa mkutano aliokwenda kuhudhuria.
Na hiyo picha uliyotuwekea ni mkutano wake na huyo waziri na sio kwamba wako airport wakati JK anafika.

Sasa huoni hapo kuna shida Rais anapoalikwa na mashirika. Ndiyo, sio vibaya shirika kumwalika kwa kuonesha heshima au kwa kujikomba kwa ajili ya maslahi ya shirika, lakini yanapofanya hivyo na Rais kipenzi chetu aoneshe ung'ang'ari kidogo akubali mwaliko lakini kwa kuteua mwakilishi wake kama vile waziri anayehusika na hilo suala au VP au PM. Kw a maneno mengine, kitu tunacho-critisize ni Mhe kukubali kushiriki mwenyewe binafsi kwa kila mwaliko hata ule ambao angeweza kutuma mwakilishi!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom