VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Katika kile kinachoonekana ni kudhibiti wafanyakazi hewa,Serikali kupitia Wizara ya Utumshi wa umma imeanza uhakiki wa wafanyakazi wake.Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,uhakiki umeanza asubuhi hii kwa wafanyakazi wa Chuo kufanyiwa uhakiki.Katika jengo la Utawala,uhakiki unafanywa Masijala.
Je,uhakiki utakuwa suluhisho la wafanyakazi hewa?
Je,uhakiki utakuwa suluhisho la wafanyakazi hewa?