Uhakiki wa wafanyakazi waanza udsm

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Katika kile kinachoonekana ni kudhibiti wafanyakazi hewa,Serikali kupitia Wizara ya Utumshi wa umma imeanza uhakiki wa wafanyakazi wake.Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,uhakiki umeanza asubuhi hii kwa wafanyakazi wa Chuo kufanyiwa uhakiki.Katika jengo la Utawala,uhakiki unafanywa Masijala.

Je,uhakiki utakuwa suluhisho la wafanyakazi hewa?
 
Kwa kiasi fulani litakuwa suluhisho, lakini si la kudumu!.
Shida ni kwamba ukifanywa uhakiki huo sasa itachukua miaka 20 kurudia zoezi hilo, ambapo mambo yatakuwa yashaharibika sana!
 
Kwa kiasi fulani litakuwa suluhisho, lakini si la kudumu!.
Shida ni kwamba ukifanywa uhakiki huo sasa itachukua miaka 20 kurudia zoezi hilo, ambapo mambo yatakuwa yashaharibika sana!
Umeongea ukweli mtupu Mkuu.Serikali yapaswa kuwa makini kwenye suala hili.Halafu,uhakiki wa kutangazwa kabla nao una walakini.Si wangeshtukiza?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom