Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,082
36,011
Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli.

Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri hivyo nilitaka kuona wanafiki watoa mada watajadili nini.

Ukumbi ulikuwa umesheheni na watu walipangwa kulingana na umuhimu wao,wanafunzi na baadhi ya staff members,academic and non academic staff walikaa sehemu ya juu.

Sehemu ya chini ikuwa kwa VIP only, nikiwa ndani ya suti yangu bila kualikwa na nikiwa sio staff wa UDSM wala mtumishi wa Umma nilikaa VIP mtari wa tatu nyuma ya makamanda wa vikosi vya ulinzi ba usalama wa nchi hii namaanisha director TISS,IGP,CDF,Bosi uhamiaji,magereza nk.

Nilikaa comfortably bila kustukiwa na yeyote mpaka mwisho wa kongamano,Sikuwa na nia mbaya ila nilitaka kujua kana zile mbinu za Carlos the Jackal zinafanya kazi.

Jana nilitaka kujipenyeza uwanjani kwa mkapa VIP nikakwama mbinu zilifeli nkaishia kukaa mzunguko na suti yangu nyeusi.

Itaebdelea.

Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa JPM.

Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri hivyo nilitaka kuona wanafiki watoa mada watajadili nini.

Ukumbi ulikuwa umesheheni na watu walipangwa kulingana na umuhimu wao,wanafunzi na baadhi ya staff members,academic and non academic staff walikaa sehemu ya juu.

Sehemu ya chini ikuwa kwa VIP only,nikiwa ndani ya suti yangu bila kualikwa na nikiwa sio staff wa UDSM wala mtumishi wa Umma nilikaa VIP mtari wa tatu nyuma ya makamanda wa vikosi vya ulinzi ba usalama wa nchi hii namaanisha director TISS,IGP,CDF,Bosi uhamiaji,magereza nk.

Nilikaa comfortably bila kustukiwa na yeyote mpaka mwisho wa kongamano,Sikuwa na nia mbaya ila nilitaka kujua kana zile mbinu za Carlos the Jackal zinafanya kazi,

Itaebdelea.....

Hongera
 
Nilkuona ila nikamua kutulia tu next time usirudie Kama unapenda hbr hzo jiunge kwenye siasa
Mbona jana pale kwa Mkapa hukukausha nikae VIP ulinistukia nikaenda VIP na suti nyeusi na lile jua
 
Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa JPM.

Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri hivyo nilitaka kuona wanafiki watoa mada watajadili nini.

Ukumbi ulikuwa umesheheni na watu walipangwa kulingana na umuhimu wao,wanafunzi na baadhi ya staff members,academic and non academic staff walikaa sehemu ya juu.

Sehemu ya chini ikuwa kwa VIP only,nikiwa ndani ya suti yangu bila kualikwa na nikiwa sio staff wa UDSM wala mtumishi wa Umma nilikaa VIP mtari wa tatu nyuma ya makamanda wa vikosi vya ulinzi ba usalama wa nchi hii namaanisha director TISS,IGP,CDF,Bosi uhamiaji,magereza nk.

Nilikaa comfortably bila kustukiwa na yeyote mpaka mwisho wa kongamano,Sikuwa na nia mbaya ila nilitaka kujua kana zile mbinu za Carlos the Jackal zinafanya kazi,

Itaebdelea.....

Unajua mdukuzi una mambo fulani ambayo kiuhalisia kila binadamu anapaswa kuwa kama wewe yaani unaishi vile unavyoona .

Hongera sana ila hapa niko njiani naenda kumstua mwanangu wa Tiss ili ajue ni jinsi gani hawako serious maana hapo ungeamua kuwamaliza ungewamaliza kabisa .

Vipi lakini jana ulienda Taifa ? Mwenzio nilienda nilikaa kwa nje kabisa pale Minazini nilikaa na watu wa Tiss wakiwa wanamlinda mama wa dipii wedi nikajikuta nasahau kuingia ndani kuitumikia hela yangu ya VVIP.

Ila Simba watatuuwa mwaka huu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ahaaa jana nilienda nikaishia kukaa mzunguko ,jamaa walikuwa smart sana,sikujaribu hata kuwasogelea
 
Jana walikuwa vizuri ila nilichofurahia sasa hivi nimepata mbinu zao zote za jinsi suti na nguo zao wanashona na vile wanaongea na kuwasiliana .

Hapa nasubiri likizo iishe nirudi tena mkoani ili nikawaoneshe wakuja kuwa mimi ni wao ila sipendi tu kujitapa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa JPM.

Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri hivyo nilitaka kuona wanafiki watoa mada watajadili nini.

Ukumbi ulikuwa umesheheni na watu walipangwa kulingana na umuhimu wao,wanafunzi na baadhi ya staff members,academic and non academic staff walikaa sehemu ya juu.

Sehemu ya chini ikuwa kwa VIP only,nikiwa ndani ya suti yangu bila kualikwa na nikiwa sio staff wa UDSM wala mtumishi wa Umma nilikaa VIP mtari wa tatu nyuma ya makamanda wa vikosi vya ulinzi ba usalama wa nchi hii namaanisha director TISS,IGP,CDF,Bosi uhamiaji,magereza nk.

Nilikaa comfortably bila kustukiwa na yeyote mpaka mwisho wa kongamano,Sikuwa na nia mbaya ila nilitaka kujua kana zile mbinu za Carlos the Jackal zinafanya kazi,

Jana nilitaka kujipenyeza uwanjani kwa mkapa VIP nikakwama mbinu zilifeli nkaishia kukaa mzunguko na suti yangu nyeusi.

Itaebdelea.....

😁😁😁😁😁😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣 Sasa wangekuwa wamevaa utambulisho maalumu na vyeo vyao ingekuaje?
 
Muonekano unaweza kukubeba sehemu nyingi sana.

Ukipiga suti kali watu wanakupapatikia sana.

Mimi nishafuatwa na bidada mkali ndani ya White Plains, New York, nikaona ananichangamkia tu, kumbe kaniona nimepiga suti kali akadhani mimi bonge la kibosile fulani hivi, akanipa CV yake nimtafutie kazi.

Siku nyingine dada wa watu wa kihindi alikuwa anafanya kazi IBM, kaniona nimepiga suti kali kwenye treni wacha anipapatikie, kataka kunijua saana, mpaka namba katoa mwenyewe bila kuombwa. Mimi nikaingia zangu Manhattan nikamsahau.

Siku moja miaka mingi imepita sasa, nilikiwa najisikia kwenda club. Nikaenda Webster Hall New York City. Hii ni wiki ambayo wanajeshi wa majini wa US huwa wanakuja sana New York City kufanya maonesho ya kijeshi. So watu wa US Navy, Marine na Coast Guard walikuwa kibao New York City.

Sasa mimi nikataka kwenda Webster Hall, kufika mlangoni watu kibao wamesimamishwa wasiingie, kwa sababu watu wengi ndani. Kufika zamu yangu, yule bouncer aliniangalia mara moja tu, akafungua njia akisema "thank you for your service" (hii ni shukurani ambayo Wamarekani karibu wote hupenda kuitoa wakikutana na wanajeshi wao).

Na mimi hapo wala si mwanajeshi. Nikaunganisha tu "Sure thing. Pleasure". Wakati mimi sijawahi kuwa mwanajeshi Marekani hata kwa sekunde.

Kumbe jamaa alivyoniona niko fit nina ma shoulder ya vyuma yale, enzi hizo nanyanyua vyuma sana, halafu nimenyoa Caesar kama wanavyonyoa wanajeshi wengi, akafikiri mimi mwanajeshi.

Nikafika ndani nikanywa sana, nika dance sana, nikajikuta nimetumia $300 peke yangu bila kuelewa zimeishaje. Enzi hiyo $300 hela nyingi.
 
Story ingekua na uhalisia, ingemaanisha kuwa hapo umesha blowup you cover.
Mimi kuna kitu niliwahi fanya enzi za Kikwete, ila sitasema wapi na nilifanya nini.
Ila hicho ulichokisema kinawezekana sana, maana mimi ilifanyika kwa masaa mengi zaidi na kila hatua.
Sema nilikua ni raia mwema tu, nyingine ilikua wakati wa uzinduzi wa Mlimani City. Udadisi raha sana. Ngoja nikomee hapa.
 
Muonekano unaweza kukubeba sehemu nyingi sana.

Ukipiga suti kali watu wanakupapatikia sana.

Mimi nishafuatwa na bidada mkali ndani ya White Plains, New York, nikaona ananichangamkia tu, kumbe kaniona nimepiga suti kali akadhani mimi bonge la kibosile fulani hivi, akanipa CV yake nimtafutie kazi.

Siku nyingine dada wa watu wa kihindi alikuwa anafanya kazi IBM, kaniona nimepiga suti kali kwenye treni wacha anipapatikie, kataka kunijua saana, mpaka namba katoa mwenyewe bila kuombwa. Mimi nikaingia zangu Manhattan nikamsahau.

Siku moja miaka mingi imepita sasa, nilikiwa najisikia kwenda club. Nikaenda Webster Hall New York City. Hii ni wiki ambayo wanajeshi wa majini wa US huwa wanakuja sana New York City kufanya maonesho ya kijeshi. So watu wa US Navy, Marine na Coast Guard walikuwa kibao New York City.

Sasa mimi nikataka kwenda Webster Hall, kufika mlangoni watu kibao wamesimamishwa wasiingie, kwa sababu watu wengi ndani. Kufika zamu yangu, yule bouncer aliniangalia mara moja tu, akafungua njia akisema "thank you for your service" (hii ni shukurani ambayo Wamarekani karibu wote hupenda kuitoa wakikutana na wanajeshi wao).

Na mimi hapo wala si mwanajeshi. Nikaunganisha tu "Sure thing. Pleasure". Wakati mimi sijawahi kuwa mwanajeshi Marekani hata kwa sekunde.

Kumbe jamaa alivyoniona niko fit nina ma shoulder ya vyuma yale, enzi hizo nanyanyua vyuma sana, halafu nimenyoa Caesar kama wanavyonyoa wanajeshi wengi, akafikiri mimi mwanajeshi.

Nikafika ndani nikanywa sana, nika dance sana, nikajikuta nimetumia $300 peke yangu bila kuelewa zimeishaje. Enzi hiyo $300 hela nyingi.
Dah safi sana,muonekano una nafasi kubwa sana mkuu,tulisoma na jamaa chuo walinzi walishamkamata sana wakidhani sio mwanafunzi,kuna watu wana sura na muonekano wa utisho kama wewe
 
Katika kitabu chake "Sowing The Mustard Seed" Yoweri Kaguta Museveni alihadithia jinsi alivyokuwa anaingia na kutoka Uganda, huku akiwa mtu anayetafutwa sana, kwa kutumia disguise simple tu ya kofia.

Yani ile kofia tu ikamfanya abadilike watu wasimjue huyu Museveni anapita sehemu nyingi bila kujulikana.

Usione Museveni anapenda kuvaa kofia tu, imemtoa mbali.

museveni.jpg
 
Back
Top Bottom