uguza pole @gfsonwin!

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,362
7,797
nimewasiliana na mdada wangu wa moyoni gfsonwin, amelazwa na mtoto moi muhimbili! mtoto ameshaingia theatre na anafanyiwa upasuaji wa mguu! MUNGU NI MWEMA MY DEAR, TUNAMKABIDHI mtoto mikononi mwake, sisi TUNAOMBA yeye ATATENDA!
we are together sweetheart, take heart!
 
Last edited by a moderator:
too bad, nawaombea Mungu awasaidie gfsonwin na mwanae wamalize upasuaji salama na hatimaye kupona.
 
Last edited by a moderator:
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.

kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.

love you wote.

mwl.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom