uguza pole @gfsonwin!

aisee sijui hii ilinipitaje.

Ila kwa karama alizonipa mwenyezi mungu, kwa mimi kuisoma hii post tayari mtoto wetu atakuwa kishapona.

Ahsante mungu kwa upomyaji wako, na pole sana gfsonwin kwa kuuguza.

Yote kheri.
mbona nimekusubiri muda hujaja!! Umeniangusha sana! Haya njoo twende, wameruhusiwa na mtoto sasa, wapo hm!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom