Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,125
- 2,573
Juisi ya ukwaju inasaidia nini kwenye huu ugonjwa?Pole sana.
Kunywa na ogea mchunga.
Kunywa juice ya ukwaju kutwa mara tatu.
Vikishapona na kukauka, utakuwa na madoa mwili mzima. ivo itakubidi upake mafuta ya bio oil mwili mzima asubuhi na jioni kwa muda wa miezi 3, Madoa yote yatatoka.
naongei ivo kwa uzoefu.