Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

Pole sana.
Kunywa na ogea mchunga.
Kunywa juice ya ukwaju kutwa mara tatu.

Vikishapona na kukauka, utakuwa na madoa mwili mzima. ivo itakubidi upake mafuta ya bio oil mwili mzima asubuhi na jioni kwa muda wa miezi 3, Madoa yote yatatoka.

naongei ivo kwa uzoefu.
Juisi ya ukwaju inasaidia nini kwenye huu ugonjwa?
 
Daa nlikua muhanga wa iyo kitu mwezi umepita

Iyo ni calamine lotion umepaka au?

Dawa zake tafuta Acyclovir tabs 200mg po qid/tds 5/7

Acyclovir cream bd 5/7

Piriton/Cetirizen tabs po bd 5/7
Acyclovir tabs & cream.. Au calamine ni dawa za msingi... Chickenpox is the viral disease sidhani kama antihistamine zinahitajika eg.Cetrizine &Chlorpheniramine. Once you cure the disease the itching sensation disappear.
 
Pole sana dawa ipo ila ni lazime urnde hospitali upate sindano na ya kupakanili tatizo liondoke fasta...
 
Kama unayafahamu matete, chukua machanga chemsha, oga maji yake na kunywa kidogo
 
Usiangaoke na madawa ya kienyeji nenda hosptal upigwe sindano inakausha fasta. Ukizembea utaharibika vibaya mno.
 
Heri ya mwaka mpya samahani nilikua naomba kujuzwa juu ya ugonjwa juu na je mfano MTU ambaye anaumwa ugonjwa huu wa tetekuwanga anaweza ambukiza MTU anaye muuguza ,
 
Kama anayemuuguza mgonjwa wa tetekuwanga alishawahi ugua tetekuwanga hawezi ambukizwa,ila kama hajawahi ugua lazima aambukizwe
wrong
Ajabu ya tetekuwanga ni kwamba kama ulishawah ugua, huwez ugua tena. Ni mara moja tu in life time. Na kuambukiza kwake ni wakat mgonjwa anaelekea kupona. Lakin ikiwa ndo zimeanza huwa haziambukiz
hilo lakwanza wrong hili la pili naweza kubali
 
Why wrong, toa basi na kasababu kidogo,maana nilishawahi ugua,sijawah upata tena pamoja na kuonana na wagonjwa wa tetekuwanga
wrong
hilo lakwanza wrong hili la pili naweza kubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom