fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,955
- 22,654
ahsante sana mkuupole sana mdau.. kwa maelezo siwezi sema moja kwa moja kwamba ni allergy ama laah, lakini cha kushauri kwa jinsi navyoelewa afanye usafi wa mwili wake mara 3 kwa siku na poa atumie sabuni ambazo ni disinfectant kama tetmosol soap. pia atumie multivitamins mahala amapolala pawe safi.....pia vyakula ambavyo vitaimarisha kinga yake ya mwili. pia utaratibu ufanyike wa kuonana na daktari wa magonjwa ya ngozi