Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Hapa ndipo CDM mnapokesea. Kubalini challenge. Nyie hampo perfect 100%! Siyo kila mtu anaikubali CDMsema asante kwa tetesi siyo taarifa. Wapi upupu huu umethibitishwa kuwa taarifa?

lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa
Mji Mkongwe = Mpemba mbishi.Wameshaanza siku yao vibaya!! Wanaenda Kanisanii ndio waje wafungue kampeni??
Asante kwa Taarifa mkuu. Hii ni changamoto kwenu wana CDM, siyo mnaanza kuporomosha mitusi!
Wameshaanza siku yao vibaya!! Wanaenda Kanisanii ndio waje wafungue kampeni??
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo
Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo watapitia katika mitaa mbali mbali kuwahamasisha wananchi.
watatembelea vijiji vya Kinu Moshi ambapo kabila la wariguru na wanyamwezi wanapatikana kwa wingi sana.
lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa
Manyanza,hebu pitia jukwaa la kimataifa kule kuna thread inasema Wazungu wakerwa na Utawala wa JK, halafu urudi tena hapa kwenye Jukwaa la Siasa..
Wameshaanza siku yao vibaya!! Wanaenda Kanisanii ndio waje wafungue kampeni??
Mji Mkongwe,
Upotoshaji ni wa muda tu. Ukweli utajipambanua mara,
1.nilipo nipo Airport ZNZ kumpokea Mhe. Mbowe anayeingia leo Asubuhi.
2. Machui ipo Jimbo la Koani na siyo Uzini.
3. Chadema haikuwepo UZINI. HIVYO SIYO KWELI "yaanza kukosa mvuto". From zero ndani ya wiki moja Chadema imeingia Uzini tayari tuna matawi katika Shehia zote 13 kila shehia ikiwa na maskani hadi 4. Kama hiyo ndio kukosa mvuto basi tunahitaji kurudi darasani kujua maana ya maneno yanayotumika.
Muheshimiwa,ahsante sana kwa ufafanuzi wako uliojaa ukweli,hekima na busara!Mji Mkongwe,
Upotoshaji ni wa muda tu. Ukweli utajipambanua mara,
1.nilipo nipo Airport ZNZ kumpokea Mhe. Mbowe anayeingia leo Asubuhi.
2. Machui ipo Jimbo la Koani na siyo Uzini.
3. Chadema haikuwepo UZINI. HIVYO SIYO KWELI "yaanza kukosa mvuto". From zero ndani ya wiki moja Chadema imeingia Uzini tayari tuna matawi katika Shehia zote 13 kila shehia ikiwa na maskani hadi 4. Kama hiyo ndio kukosa mvuto basi tunahitaji kurudi darasani kujua maana ya maneno yanayotumika.
Walaumuni CUF ndo wameharibu upinzani maana waliwachosha watu halafu walipopewa kile roho inapenda wamewasaliti wananchi. Zanzibar kuna watu wanaotaka mabadiliko lakini kitakachowaponza ni udini wenu maana mnataka Kiongozi lazima awe wa dini yenu ndo awe mzuri. Mtaachwa muendelee kuongozana vipofu kwa vipofu na mtakuwa mnaishia kama pale CUF ilipoishia magamba watawatawala milele. Mnabahati tu kwamba huko zenj magamba hayaoni dili ndo maana mpompo tu.
Badilikeni katika fikra zenu chadema ni chama makini na hakinaunafiki na ubabaishaji Kama magamba. Mtachagua magamba halafu baadaye ndo mnaanza kupinga sera za magamba eti mnataka haki. Ukichagua gamba sahau mambo ya haki.
Kwani tatizo liko wapi mtu kwenda kuabudu? mbona unakua masikini wa akili na mvivu wa fikra?
Muheshimiwa,ahsante sana kwa ufafanuzi wako uliojaa ukweli,hekima na busara!
Huyu Mji Mkongwe ndiye huyo huyo Mpemba mbishi....so asikusumbue hata kidogo,sisi tutapambanae
Mji Mkongwe,
Upotoshaji ni wa muda tu. Ukweli utajipambanua mara,
1.nilipo nipo Airport ZNZ kumpokea Mhe. Mbowe anayeingia leo Asubuhi.
2. Machui ipo Jimbo la Koani na siyo Uzini.
3. Chadema haikuwepo UZINI. HIVYO SIYO KWELI "yaanza kukosa mvuto". From zero ndani ya wiki moja Chadema imeingia Uzini tayari tuna matawi katika Shehia zote 13 kila shehia ikiwa na maskani hadi 4. Kama hiyo ndio kukosa mvuto basi tunahitaji kurudi darasani kujua maana ya maneno yanayotumika.
hebu pitia jukwaa la kimataifa kule kuna thread inasema Wazungu wakerwa na Utawala wa JK, halafu urudi tena hapa kwenye Jukwaa la Siasa..