Ufunguzi wa Kampeni Jimbo la Uzini.chadema yaanza kukosa Mvuto

Mbona unakuwa mtumwa wa akili? Kwani wewe kila wanachosema wazungu unakikubali tu vipi kuhusu sera za Conservative, za ushoga upo upande wa wazungu?

Hehehe ... Akili za kitumwa mkuu wasikushughulishe... Hao
 
Wameshaanza siku yao vibaya!! Wanaenda Kanisanii ndio waje wafungue kampeni??

Ulitaka waanzie kwa waganga wa kienyeji nini alafu ndio waende kuzindua kampeni,waache wanaomuamini Mungu wayafuate ya Mungu,either kwa njia ya Muahammad au ya Jesus.
 
Nakumbuka Mrema alikwenda kuweka kambi Zanzibar, wakati wa matokeo alipata kura mbili akuamimi macho yake.

Chadema wanakwenda kuaibika Zanzibar, na mtu ambae ameifanya Chadema wachukiwe ni Tundu Lissu, tena kwenye kampeni hiyo ndio mada kuu.
 
attachment.php
 
Ubaguzi ni kitu kibaya sana.
 
Dr w .slaa tunakuamini ,tunautambua umakini na uwezo wako ktk kujenga Chama.endelea mbele,usiogope vitisho.
 
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo
Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo watapitia katika mitaa mbali mbali kuwahamasisha wananchi.
watatembelea vijiji vya Kinu Moshi ambapo kabila la wariguru na wanyamwezi wanapatikana kwa wingi sana.

lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa
ACHA UONGO WE GAMBA. Dr wa ukweli hana ratiba uliyosema.
Wanaotaka ukweli wasome post ya Dr Slaa kwenye uzi ulioanzishwa na Tumaini. Mtabaki WAJINGA WAJINGA HVYO HVYO MAGAMBA. Na LAANA INAWAFUATA NYUMA, KWA MATESO MNAYOWAPA WATZ.
 
Kama ccm waliweza kubaka na kushinda Igunga itakuwa je chadema wasiyo na unafiki wasishinde uchaguzi.
 
Matokeoya uchaguzi mwaka jana ccm iliongoza na cdm ikafuatia sasa huyu mgombea wa ccm ni mchafu sana tena sana (tuna jua ni tajiri sana pale zanzibar kama alivyo barkhesa hapa bara) lakini pesa za huyo jamaa zinanukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,......sasa hawezi ccm wamemuweka kama picha tu kwa sababu ya utajiri wake butt cdm inanafasi kubwa ya kuchukua jimbo
 
Nakumbuka Mrema alikwenda kuweka kambi Zanzibar, wakati wa matokeo alipata kura mbili akuamimi macho yake.

Chadema wanakwenda kuaibika Zanzibar, na mtu ambae ameifanya Chadema wachukiwe ni Tundu Lissu, tena kwenye kampeni hiyo ndio mada kuu.
Wazanzibar wanatakiwa kumuunga mkono Tundu kwa sababu anataka kuona wanarudishiwa dola yao ambayo ndio wanaililia kila kukicha!!
 
Muda bado sana wacha tuone inakuwaje .Tutasema tu na kushindwa Zanzibar ni sehemu ya Uchaguzi Chadema haina nguvu sana japokuwa ipo huko .Kule kwa Wapemba mh
 
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo
Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo watapitia katika mitaa mbali mbali kuwahamasisha wananchi.
watatembelea vijiji vya Kinu Moshi ambapo kabila la wariguru na wanyamwezi wanapatikana kwa wingi sana.

lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa

Mkuu hizi tetesi umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom