Ufisadi wa Johnson Lukaza

Nadhani wanajamii mnakumbuka kuwa katika orodha ya "list of shame" iliyotolewa na Dr. Slaa muungwana pia yumo!! Na nadhani pia mnakumbuka kuwa kuna wakati muungwana alikuwa anashabikia sana akienda safari za nje kuongozana na wafanyabiashara wazalendo!! Sasa hao aliokuwaanaongozana nao ndio hao wakina Lukaza na Maranda etc.Waingereza wanamsemo "show me your friend and I will tell you your character" sasa hapo kweli muungwana ataponaje na ufisadi kuwa na yeye alifaidika na fedha za EPA? Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hata yale maland cruiser aliyokuwa anatumia muungwana wakati wa kampeni yalinunuliwa na "mkurugenzi wa Kagoda" kwa fedha taslimu zilizopelekwa TOYOTA kwenye mabox; sasa mkitaka kujua mkurugenzi wa Kagoda ni nana waulizeni TOYOTA nani alinunua land criuser VX tano cash wakati wa uchaguzi 2005. Urafiki wa viongozi wetu na wafanyabiashara ni wa kuhujumu nchi na ndio maana kila kiongozi ana mhindi wake; Lowassa na Rostam Jakaya na "mkwere" mwenzie Shubash Patel. Tukiwapa miaka mitano mingine watatumaliza.
 
Asante...............! Wakati mwingine mambo kama haya yanakatisha tamaa sana. Questioning our credibility......generalisation!

Zitto

Do not cry, I would like you to understand that Credibility not only kutoiba au kutetea sana mali za uma including funds.

Nina mifano michache;
1. Mlisema kuwa Mtikila alipewa 50mil na Makamba, watu wakaomba muwapeleka mahakamani, mpaka leo kimya. Hili lingekuwa anguko safi sana kwa CCM kwa kuwa tunaamini yanayosemwa na CHADEMA.
2. Mlisema mtamshitaki Mtikila, sijui mmeishia wapi kwa hili.
3. Kubwa zaidi ambalo mimi na wananchi kadhaa hatuelewi mliahidi kuwa after one week mtarudi kwenye ile operation sangara. mpo wapi? vyombo vya habari vimewasusia? mlitangaza wapi kuwa mtarudi baada ya wiki hata 7? Kama kukeep promise kumewashinda, what about others?

We need to be very smart. Still i have got trust on you but i will comment whenever you make something unlike.

Thank you...
 
huwezi kuzungumzia kupanda au kushuka kwa lukaza johson bila kumhusisha adad rajab bosi wa zamani wa polisi na sasa balozi huko zimbabwe
 
huwezi kuzungumzia kupanda au kushuka kwa lukaza johson bila kumhusisha adad rajab bosi wa zamani wa polisi na sasa balozi huko zimbabwe

Mwakimbi hebu tumegee mahusiano ya Lukaza na afande Adadi lau kiduchu tu na wengine watajazia kwani haba na haba hujaza kibaba,
 
Mwakimbi hebu tumegee mahusiano ya Lukaza na afande Adadi lau kiduchu tu na wengine watajazia kwani haba na haba hujaza kibaba,

Nnachofahamu mimi Adadi kuna kipindi alikuwa anamdai Johnson, jamaa akawa jeuri kulipa Adadi akamtumia majambazi. Well baadae nadhani walilipana maana Johnosn alikuja kuuziwa tena gari aina ya prado na Adadi na Johson kwa sababu siku hizi hayuko kwenye that level hiyo gari amempa/ amemuuzia mmoja wa wafanyakazi wake. Hata ile nyumba ya Adadi pale Mbezi beach jogoo inasadikika alinunuliwa na Johnson.
 
I'm just dissapointed kwamba some people wamekwenda nje ya topic na kuanza kupigana vijembe na kejeli. Inaudhi sana pale unapofuatilia thread halafu unakuta post za ajabu ajabu za watu kutupiana maneno badala ya kuchangia thread au kuipinga.

Kwa wale ambao Zitto "kawakuna" na kuanza kuquestion credibility ya opposition parties leaders, pia nao mtazamo wao ni finyu. Kama alivyowahi kuandika kiongozi mmoja wa upinzani ambaye pia ni member humu, watu wengi hatuthubutu hata kuweka our real identities in this forum. Tunapenda kuchangia na kuipinga serikali na mambo mengine kibao, lakini tukitumia fake names. Sasa, jiulize wapinzani hapa nchini wanacourage kiasi gani ya kwenda kusimama pale viwanja vya Jangwani na viwanja vingine hapa nchini na kutaja majina ya mafisadi na mambo mengi lukuki ya kuikosoa serikali. Wangapi tunaweza hilo? If we can not even reveal our true identities humu kwenye forum, tunaweza kuwenda Jangwani na kuongea kuhusu Lukaza, Lowassa etc? Lets just be fair to leaders of our opposition parties. Wanafanyakazi katika hali ambayo mazingira yanaruhusu. Huwezi kutoa mifano ya Obama kule USA unataka kulinganisha na Mbowe hapa bongo. Level ya democracy na civic education katika hizi nchi mbili ni tofauti sana. Mazingira ya nchi yetu yanapelekea wao kufanya kazi kama wanavyofanya. Lets all give them credits to that.

Kama you think they dont deserve any credits, then anzisha chama chako cha upinzani, uje na sera za Obama then tutakupa kura mpaka ikulu.
 
Hakuna ubishi kuwa hivi vyama vya upinzani havikidhi matarajio ya wananchi kama tulivyotegemea; mara nyingi badala ya kuungana na kupambana na chama tawala vimekuwa vikipingana kwa faida ya CCM. Tunafahamu kuwa kuna chama kama Chadema huku Bara kinafanya kazi nzuri yakusifika na CUF pia kule Pemba wanafanya kazi nzuri; lakini pale wananchi wanapotegemea kuwa vyama vitaungana na kuwa na nguvu dhidi ya chama tawala haiwi hinyo; mpaka wananchi wanahisi kuwa vyama kama cha Mtikila na NCR mageizi kuwa ni mapandikizi ya CCM yanayotumiwa kuvuruga umoja wa vyama vya upinzani na ushahidi ni jinsi ilitokea kule Tarime vyama hivyo kusimamisha wagombea wakati walijua wazi hawakuwa na wafuasi kama CHADEMA!!
 
Japo nakubaliana na wewe, lakini ni muhimu kutambua kwamba muungano wa vya sio kama walimu kuungana na kuamua kugoma au wanafunzi wa mlimani kuamua kuungana na kuamua kugoma. Lazima utambue kwamba kila chama cha siasa kina sera na itikadi zake. Hii ndio maana unaona leo Tanzania tuna utitiri wa vyama vya siasa. Hii ni kutokana kutofautiana kisera na kiitikadi baina ya chama na chama. Sasa, unapoongelea kuungana kwa vyama, unaongelea vyama kukubaliana kisera na kiitikadi kuungana. Kwamba vyama hivi vinaendana kisera na kiitikadi. Kila chama kina mtizamo au dira ya namna ya kuipeleka nchi kule inakotaka. Ndio maana kwenye kila changuzi, chama kinakuwa na ilani yake ya uchaguzi inayoelezea sera na itikadi ya chama husika. Wananchi wakiikubali hiyo ilani, basi ndio chama kinachaguliwa.

Sorry wadau kwa kutoka nje ya mada.

Wenye nondoz za Lukaza naomba muendeleze thread.
 
Nnachofahamu mimi Adadi kuna kipindi alikuwa anamdai Johnson, jamaa akawa jeuri kulipa Adadi akamtumia majambazi. Well baadae nadhani walilipana maana Johnosn alikuja kuuziwa tena gari aina ya prado na Adadi na Johson kwa sababu siku hizi hayuko kwenye that level hiyo gari amempa/ amemuuzia mmoja wa wafanyakazi wake. Hata ile nyumba ya Adadi pale Mbezi beach jogoo inasadikika alinunuliwa na Johnson.

Asante sana Nyambala, je unajua Adadi alimuuzia nini Johnson mpaka wakadaiana? je ni kweli alimtumia majambazi au group ya Zombe? au vijana wake mapolisi waliovalia sare? napenda kujua tu kwani kwenye luninga alionekana hana wasiwasi kabisa as if alikuwa picnic
 
sasa kama dada yake ni mke wa "mshikaji wako wa karibu sana" what the **** are you doing betraying their confidence in public? is it because haukunufaika? you make me sick!
 
Mwenye data ya Ndugu zake wanafanya nini...atumwagie hapa......maana hawa nasikia wanashirikiana sana kwenye hizi "DILI" kuanzia kwa kaka yao Makubo mpaka wao vijana...........nani alitegemea Makubo ataibuka tena!!
 
Back
Top Bottom