Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
Huyu Jamaa Huwa Anakuwa Kama Mtu Wa Church Sana Kumbe Anazuga Kwenye Vipindi Vya Dini Vya Yule Muhindi.
......hali ya johnson kipesa sasa hivi ni mbaya sana..kwani akauti zake zote zimeminywa yakiwemo yale magari..najuta kwa nini sikununua moja ya apartment zake ..kwani nisingemlipa[ningejilipa pesa zetu alizokunywa]..hata hivyo kwa walionunua apartment zake huko sigara nashauri wasimlipe!!
jammaa siku hizi anatembelea RAV four old model....mafuta yenyewe ishu!!....akauti zote freezed...msichangae mkasikia ame balalli!
JAMAA NI BALAA SANA ONA NYUMBA ANAVYOUZA........
Thank you for your enquiry, please be advised that the Flats are two bedroom flats with akitchen and a bathroom. The Flats' price is at Tshs. 35,000,000 Million for cash purchases and Tshs. 40,000,000 Million for twelve Months credit with 20% down payment. The flats have plenty of open areas in the estate. The estate will be proffessionally managed by PROIN TZ Ltd. for the peace of mind of al the clients. I hope i have addressed both of your concerns, if not please do not hesitate to contactus. Thanking you for your interest and look forward to hear from you soon. Kind Regards Abu Faraji
Jamni tukumbushane huyu Johnson Lukaza alikuwa katika kitengo gani??na ni nani huyu katika taifa hili la wadanganyika??
Mkjj hayo hayawezekani abadani katika CCM hii ya JK,Msekwa na Makamba. Tumeona vikao vikuu vya chama vikitumia nguvu kubwa kusafisha wanaotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi huku viongozi hao wakuu wakifumba midomo kama vile jambo hilo ni jema.Lakini msingi wa urafiki huu hasa ni nini? Kwanini CCM inapokea misaada kutoka kwatu watu of questionable character? Yawezekana kuwa CCM haijali misaada inatoka kwanini alimradi watu hao hawajakutwa na hatia mahakamani?
Ilipogundulika kuwa shangazi yake Obama kule MA (ambaye ni illegal) amechangia karibu dola 230 hivi kwenye kampeni ya mpwae Kamati ya Kampeni ya Obama ilirudisha fedha hizo mara
. Imetokea pia kwenye wanasiasa wengi inapogundulika kuwa michango waliyopokea imetoka kwa watu ambao haifai kuwa nao karibu.. kwanini CCM haiwezi kufuata mfano huu kuonesha kuwa hata ile kuonekana wanakula sahani moja na mwizi ni no no!?
Mwanakijiji,
Niliwahi kuongea na mwana CCM mmoja kuhusu michango inayotolewa na matajiri. Yeye alikiri kuwa Jeetu Patel ni tapeli na amechangia sana CCM na anafahamiana na wakubwa wengi katika chama. (Siku hizo neno ufisadi lilikuwa bado halitumiki) Patel ninamfahamu kwa sababu alianzia biashara zake Musoma. Nikamwuliza mheshimiwa hivi hamuoni shida kupokea fedha za Jeetu huku mnajua kuwa biashara zake ni za kitapelitapeli? Jamaa aliniangalia kana kwamba the issue had never crossed his mind.
lakini chama kama cha Mapinduzi kitaweza vipi kuendesha pasipo kuungwa mkono na wanachama wake? Lakini swali la muhimu nadhani pia ni kuona kwanini kuna ulazima wa CCM kuchangiwa wakati kinapokea ruzuku ya karibu bilioni 2 kila mwezi?
Jamani hivi operation sangara imeishia wapi? Si walisema watarejea baada ya wiki moja?