Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
lakini chama kama cha Mapinduzi kitaweza vipi kuendesha pasipo kuungwa mkono na wanachama wake? Lakini swali la muhimu nadhani pia ni kuona kwanini kuna ulazima wa CCM kuchangiwa wakati kinapokea ruzuku ya karibu bilioni 2 kila mwezi?
CCM ni kama Simba au Yanga. Kuna wadhamini wanaotoa michango ya mikubwa. Na kuna washabiki wapiga kura. Na kuna viongozi ambao kazi yao ni kutafuta ushindi.
Pesa za michango hazifanyiwi ukaguzi au kuwa vetted.