Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

Unachuki binafsi na Kinana Bandari kavu zote matatizo yanafanana ukweli ni kwamba Serekali inatakiwa kuongeza muda baada ya meli kufunga inatakiwa week mbili badala ya week moja ningusana kuhamisha meli nzima ya magari au container kutoka bandarini adi kwenye bandari kavu kwa muda wa week moja mbaya zaidi wanahesabu bada ya meli kufunga, Kushusha magari kutoka kwenye meli sio chini ya siku taku bado kuyahamisha na kuayapeleka bandari kavu yakifika bandari kavu yanasajiliwa kwenye system zao tatizo ni Serekali sio bandari kavu kwanini wasihesabu baada ya meli kushusha na kuondoka wanahesaba kuanzia siku meli imefunga wakatika inachukua siku tatu kushusha?
 
Tulipofikia heri kuwa na fisadi lakini tukawa salama tu na huru, wakoloni hawakuondolewa kwa sababu wanatuibia ila kwa sababu walituziba midomo tusiseme, UHURU , UHURU, UHURU tu
Hivi wewe huna usalama kwa lipi?

Huna uhuru kwa lipi?
 
Back
Top Bottom