Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

Nihahakikishie kama TALL ni ya Kinana maana yanasemwa mengi, na kama ni ya Kinana amelipataje lile eneo?
 
swali muhimu wana JF,why ASYCUDA ipo down kila siku?mbona systems za ma bank hazisumbui kama za TRA?
 
swali muhimu wana JF,why ASYCUDA ipo down kila siku?mbona systems za ma bank hazisumbui kama za TRA?

Huenda wataalamu wao wa mifumo ya mawasiliano ya asycuda uwezo wao ni mdogo kukabiliana na mahitaji ya watumiaji wa mtandao huo. Si kumekuwa na taarifa za kupeana ajira huko TRA kwa kigezo cha technical know who!!
 
Mohamed tantawi inaonekana we mtetezi wake mzuri sana,wakati ni kweli hata mimi imenitokea,angalia hapa mjini hao mafisadi wataku cameroon....
 
Hakuna mtu ambaye siyo mwizi ccm.hata waliomo humu wanashabikia ccm wote ni wezi,matapeli,wanaishi kimagumashi,mishen town kibao,yaani ccm asiye mwizi hayupo.
 
Uliyeleta hili umenikumbusha tukio moja pale bandarini. Nilienda kuchukua kabajaji kangu siku hiyo kalikotokea japan.Tuliingia kule ndani mnamo mida ya saa tatu asubuhi,pilikapilika za kule chini,na ukiritimba wa huyu anasign kakipande kadogo,unaenda kwa mtu mwingine,mara jengo jingine,tulimaliza hizo taratibu kama saa kumi na mbili jioni.

Tulipotoka kule chini,tukafika kuna ka kituo kengine karibu na getini,tukafanya Clearance hapo,ijapokua tulikua tunagombaniana sana. Sasa tulipomaliza hapo linafuata suala la kutoka getini, si yule mdada wa pale getini akatuambia system iko down.Aisee kumbuka nilikua sijala toka asubuhi,Nikamuuliza "kabla ya hii system milkua mnafanyaje?" Ooh,tulikua tunafanyamanually,Nikamwambia na hapa utafanya manually, kwa sababu najua kuna utaratibu huu, kila mahali panapokua na dharula lazima kuna alternative.

Akawa mbishi, watu wakaanza kuniunga mkono, na wengine wakaanza kuja kujaa. Kwani nilimuabia,wewe chukua details zote,system ikirudi uta update,alipoona wanachi wanabadilika ,si akatuhudumia.

Haya huwa ni mbo ambayo watumishi wengi wa umma huwa wanategea kazi,eti system hakuna hawafanyi kazi.Ni uvivu tu na kujenga mazingira ya rushwa.Mie huwa sivumilii upuuzi kama huo.
 
madili kama hayo unakuta TRA na wengine wote kwenye system wana mlo wao hapo...huwezi mshtaki punda kwa fisi aloo

Hii serikali inaibiwa sana kwa njia hii, huko kwenye bonded warehouse wanakutana maofisa wa TRA na mwenye yard wanapanga mipango ya kuiibia serikali mchana kweupee, Mh. Mwakyembe mulika mwizi!!
 
Huu ni mojawapo ya ushamba wa watanzania. Kampuni ni legal entity. Kwa sababu mmezoea kufanya kila kitu siasa basi mnasahau mambo mengine yote. Kama kampuni imekutendea ndhivyo sivyo na una ushahidi unajua cha kufanya. Huyo Kinaan hata kama atakuwa mmiliki siyo yeye anayekagua mzigo wako au kuuandikia kibali cha kutoka. Sasa siasa imeingiaje hapa?
Mwisho konda wa daladala ya mwanasiasa atakataa kukupa msaada kwenye tuta, utakuja kulalamika kuwa mwanasiasa kakunyanyasa!
 
ieleweke pia kuwa eneo lile lilikuwa la shirika la reli. sielewi ni kwa namna gani kinana na washirika wake diamond shipping, african shipping and wale walopata kashfa ya kusafirisha trophys walivopata.
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.

wacha uzushi weye pesa huna ya kutoa mzigo waja kulalamika JF kutafuta sympathy .. lete ushahidi basi ! wivu na roho za kwanini ndio zinawafanya kuwa maskini... kawaida JF zinaletwa allegations zilizoshiba ushahidi esp. jukwaa la siasa ...

 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.

Allah tunusuru!! Pale ni kwa Kinana? Kweli mafisadi wa nchii hii halafu si Mtanzania!!!! Ngoja ifike mahali tutaifishe mali zetu na ile sheria walipindisha ibadilishwe. Kinana arudi kwao. Mbona Rost tamu ameshaanza kuondoka taratibu!!!
 
kinana si alikuwa meneja kampen wa swahiba wake kikwete? Ha ha ha wanalo c ndo hawa hawa ccm
 
Back
Top Bottom