Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.
mbona Abubakar Asenga umekuwa mkali hivi! ndio mambo ya kulipa fadhira hayo, pole sana mdogo wangu, hakuna kitu kibaya kama shida hapa duniani.
 
Alafu ni mjumbe wa mkutano mkuu wa nec dili zake zinapenya kiulaini
 
Kila sehemu ya nchi yenye fedha ukiulizia mmiliki ni nani uaambiwa ni kigogo wa serikali ni kwanini?nchi hii inahujumiwa wazi wazi hivi,cha kushangaza nenda tra halipikodi hat sent tano na hata kama atakuwa analipa basi ni kidogo sana,unafikiri kwa mtindo huu nchi itaendelea kwa maendeleo wanayoyasema?hapa ni changa la macho tuna pewa tu,ila iko siku huu udhalimu utakwisha tu.
 
Na hii wataanza kuparuana wenyewe kati ya vigogo wanaotarajia vs vigogo! Huoni kilicho tokea Ubungo bus teminal? manake kila anapogusa kigogo mtarajia ataambiwa hapa kwa mzee, hapo ndipo ngoma itaanzia!
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata
Hicho kiwanja alikipata baada ya kuvunja kota za Railways zilizokuwepo pale
Takukuru wanajua ujanja alioufanya mpaka akaondoa wananchi wale na kujenga yadi
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Makaburi yanafukuliwa
 
Makaburi yanafukuliwa
Tunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada
 
Haaaa.....in musiba's voice
 
Tunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada
Kumbe ni raia wa Canada? Duuu ayseee:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Asante kwa taarifa nilikuwa sijui, hilo eneo ni la kwake au amepangishwa? na mimi 2015 lazima niutafute uongozi hata kwa rushwa kitaeleweka.
Magufuli umeupata uongozi sasa mbona hukumtumbua mapema Kinana? Halafu una wivu na matajiri!
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Tulipofikia heri kuwa na fisadi lakini tukawa salama tu na huru, wakoloni hawakuondolewa kwa sababu wanatuibia ila kwa sababu walituziba midomo tusiseme, UHURU , UHURU, UHURU tu
 
Tunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada

Tulipokuwa tunapiga kelele kwamba iweje mahakama ya mafisadi ikose wateja wakati wateja wapo, mbona ulikaa kimya wakati una huu ushahidi muhimu? Umeamini unafiki hauwabebi? Hapa tunasema Bashite ndiye aliyeongoza kikosi cha kumshambulia Lissu kwa amri ya jiwe mnajifanya hamna ushahidi. Ikitokea siku jiwe na bashite wako kinyume na ccm ndio mtaanza kuuweka ushahidi wazi. Halafu mnataka watu wawaunge mkono huku mkikalia kimya uovu kwa maslahi ya ccm?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom