Josevic
Member
- Apr 30, 2013
- 19
- 11
Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita matokeo ya kidato cha sita yamekuwa yakitolewa tarehe 1 mei. Ila kama historia isipojirudia basi tetesi za hapa na pale kuhusu matokeo na ufaulu wa kidato cha sita zitakuwa zimefikia kikomo leo alasiri.