Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

Josevic

Member
Apr 30, 2013
19
11
Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita matokeo ya kidato cha sita yamekuwa yakitolewa tarehe 1 mei. Ila kama historia isipojirudia basi tetesi za hapa na pale kuhusu matokeo na ufaulu wa kidato cha sita zitakuwa zimefikia kikomo leo alasiri.
 
no one is sure bout when the results r comin....we jux av to chill tusubirie when will it kam...koz mpaka saa hivi saa kumi na dakika 13 hayajatoka....ila siku haijaisha tusubirie........
 
Matokeo ni kitu nyeti sana... Pengine hawataki ionekane kuwa siri zao zinavuja!
 
Back
Top Bottom