UDSM yaongoza kwa ubora A.M

ukweli utabaki kua ukweli UDSM ni chuo bora kuliko chochote kile TZ.
SAUT nadhani wa mwisho manake output yake duuuuuuuuuuuu, difficult to elaborate----
na walimu wa pale duuuuuuuuuuu..........................
SAUT WANASHUSHA HADHI ZA Graduates hapa nchini.....SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAUDHI
 
Katufu UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua best of the best students.

Unamaanisha nini best of the best? Kama ni kufaulu sana naamini leo hii ndio kuna hao 'best of the best' kwa kuwa international schools, english medium, academies zimeongezeka sana nchini kinyume na tulipokuwa tunasoma sisi. Naamini sasa ndio UDSM itapta best of the best zaidi ya enzi hizo...
 
Wekeni rankings za dunia hapa, acheni kushindanisha wachovu na wachovu wengine.

UDSM wameacha tabia yao ya kuweka postings zenye grossly poor grammar na impossibly grotesque spelling mistakes kwenye website yao?

Siwezi kuwachukulia seriously mpaka waache hilo kwanza.
 
kiranga marks za kwenda udsm ulikosa manaake mapovu yanakutoka!
 
kiranga marks za kwenda udsm ulikosa manaake mapovu yanakutoka!

Ukweli wa mambo ni kwamba UDSM ni chuo cha kichovu na haina maana mtu uki point out uchovu wake basi ulikosa alama zinazokidhi udahili wa hapo.

Wapo watu ambao hata hawakuwa na mpango wa kwenda kusoma hapo licha ya kukidhi vigezo vyote.
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

tanzania kweli elimu bado! sasa kama udsm ndo ivi! embu angalieni viongozi wa nchi wanaotolewa na hicho chuo wanachokifanya! embu angalia hata walimu wake wengine wametimuliwa UN wanasingizia kuisha kwa muda! hao wakurugezi wa maofisi waliotolewa na hichi chuo ndo kwanza wanaishia kusimamishwa kwa wizi tu! ndo mana wadhungu wanakwambia age is nothing but a number, so iyo rank kwa udsm ni uchafu tu! mana kama wao ndo no1 tulitegemea kupata maendeleo kutokana na product ya hiki chuo, sasa zaidi zaidi tunaambulia mafisadi na wengine machui waliojivika ngozi za kondoo! poor university.
 
kiranga marks za kwenda udsm ulikosa manaake mapovu yanakutoka!

Una assume assume tu kwamba nilisoma bongo na nilitaka kwenda "choo kikuu" chenu hicho kilichojaa uchovu, siasa, migomo na ma profesa waganga njaa.

Ndiyo mlivyofundishwa ku assume assume hivyo?
 
chakushanga hao wanafunzi wanaotoka hapo ndo mafisadi wa nchi!

Ukiwakuta wenyewe wanavyowakoga wanafunzi wa vyuo vingine Tanzania.

Nilipata bahati ya kuwasikiliza madem wawili wanatambia "u-superstar" wao wa kusoma UDSM. Dizaini wamekuja mjini shule. wameletwa na vijiji vyao, judging from vikwapa vilivyokuwa vinatoa.

Hivi UDSM hamna hata basic hygiene standards?
 
tusiwalaumu sana mana hata wazungu hawana akuli! wanaweza wakawa wanazingatia mengi kwenye rank zao ikiwemo ushoga, kujiuza, starehe kupindukia nk!
 
Ukiwakuta wenyewe wanavyowakoga wanafunzi wa vyuo vingine Tanzania.

Nilipata bahati ya kuwasikiliza madem wawili wanatambia "u-superstar" wao wa kusoma UDSM. Dizaini wamekuja mjini shule. wameletwa na vijiji vyao, judging from vikwapa vilivyokuwa vinatoa.

Hivi UDSM hamna hata basic hygiene standards?

Hahahahaa...eti vikwapa!

Hivi umefika hapo Mlimani hivi karibuni? Vyumba vya madarasa pamoja ofisi za walimu ziko kwenye hali mbaya sana.

Majuzi tu hapa nilienda kwenye jengo la idara ya Historia nikasikitika sana. Kwanza ukiingia tu unakumbana na harufu mbaya ya chooni. Halafu kwa ujumla tu hali ya jengo na ofisi zake ni mbaya.

Nkrumah Hall na yenyewe imechoka vibaya mno. Dorms ndiyo balaa. Yale majengo marefu moja sijui linaitwa Hall 4 lile...ipo siku yataanguka na kuua watu.
 
kinachozungumziwa n kwamba wana udsm 2najivunia kuwa WAKAREEEE A.MASH,na Afriaka n wa 11,so ingekua n mtoto mdogo ameongoza darasa 2ngempa pipi cz anaonesha anashughulisha kichwa,NAJUA WA2 AMBAO HAMJAPIKWA KATIKA JIKO HILO(UDSM)mtadc bt 2kumbuke kua MAMA ATAENDELEA KUA MAMA TU HATA KAMA ATAKWATWA MAZIWA AU KUWA KICHAA...najivunia kuwa mwana UDSM........
 
kwa jinsi mambo yanavyokwenda, hali ya udsm itazidi kuwa mbaya. Wahadhiri wamejikita kutafuta pesa kwa kufundisha vyuo chipukizi. Sijui huo mkakati unaouzungumzia wewe ni upi? Wahadhiri kujitokeza kwa wingi kwenye tv?

to remain academic exllerence in africa.kujitokeza katika tv hiyo ni njia mojawapo ya kutoa elimu kwa umma kwani ni wajibu wao kufanya hivyo.
 
Kenya inapotoa vyuo 5 na tz inatoa 1,udsm ni ya 23 africa mhhhhhhhhhhhhh
 
kinachozungumziwa n kwamba wana udsm 2najivunia kuwa wakareeee a.mash,na afriaka n wa 11,so ingekua n mtoto mdogo ameongoza darasa 2ngempa pipi cz anaonesha anashughulisha kichwa,najua wa2 ambao hamjapikwa katika jiko hilo(udsm)mtadc bt 2kumbuke kua mama ataendelea kua mama tu hata kama atakwatwa maziwa au kuwa kichaa...najivunia kuwa mwana udsm........

acha ushabik udsm ni ya 23,angalia july ranking,siyo ya 2011-2012
 
Back
Top Bottom