UDSM yaongoza kwa ubora A.M

Perry unauliza shule ya kata hicho ni sawa na kituo cha elimu ya watu wazima au MEMKWA.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SG8
Katufu UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua best of the best students.
 
Last edited by a moderator:
Katufu
UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe
ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka
Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua
best of the best students.

mkuuuuuuuuu naunga hoja mia kwa mia
 
Last edited by a moderator:
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

Acha uongo wewe. Kwa rank za mwaka huu July 2012 UDSM kimekuwa cha 23 Afrika, cha tatu Afrika Mashariki! Tumia creadible sources. Bofya hapa

Kama huamini soma The East African, Makerere rises in world ranking

Najua una mahaba na chuo chetu, lakini hali halisi hairuhusu mjomba. Unategemea nini kama Maprofesa wanakimbia madarasa kugombania ubunge? Wengine wanakesha kwenye TV kuuza sura! 23rd mkuu sio 11!
 
Katufu UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua best of the best students.

Kaka ubora wa chuo hautegemei sana selection kivile. Muhimu ni kinachopatikana chuo. Vilaza hawa hawa wanaweza kuwa bora kuliko 'the best' unaowaona wewe wakikutana na mazingira rafiki. Halafu unaposema the best of the best unamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Halali kabisa maana udsm walivyojipanga kimkakati hakika ushindi huu ni wao na pia ni wa watanzania wote.hongereni sana wakuu kazi njema.
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
mbona wengine hatuelewi, au kila mmoja ana dunia yake, au Afrika Mashariki sio sehemu ya hiyo dunia!!?
Makerere rises in world ranking
Ugandan universities have continued a steady climb up the scale of world universities, latest rankings reveal. The ranking by Webometrics indicates that Makerere University, the biggest and oldest public university, which is celebrating its 90th anniversary this year, climbed up four places from 1,777 to 1,173 in the world.

Makerere rises in world ranking*- National*|monitor.co.ug
 
Halali kabisa maana udsm walivyojipanga kimkakati hakika ushindi huu ni wao na pia ni wa watanzania wote.hongereni sana wakuu kazi njema.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, hali ya UDSM itazidi kuwa mbaya. Wahadhiri wamejikita kutafuta pesa kwa kufundisha vyuo chipukizi. Sijui huo mkakati unaouzungumzia wewe ni upi? Wahadhiri kujitokeza kwa wingi kwenye TV?
 
Back
Top Bottom