Acheni utoto nyie,tafuteni siku nyingine ndo mfanye hayo maandamano,mbona mnataka kujiaibisha!

Hee kwani vipi tena, hao vijana wana madai gani?????????
hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo
Wametumwa na Chadema ili kumuaibisha raisi wetu. Hawana lolote hao. Watakula virungu wakalale.

What? r u out of ur mind? Ni Tz. ipi wewe unaishi? Muda wa kufichiana madhambi umeisha usituchanganye na wewe. Tafuta muda wako uende basi magogoni ukaandamane kivyako tuone kama utafanikiwa!hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo