UDSM kumekucha.

Acheni utoto nyie,tafuteni siku nyingine ndo mfanye hayo maandamano,mbona mnataka kujiaibisha!

sembuse Museveni? Mbona swala La Dowans Rada nk yapo hadi mbele huko hayo hayatuaibishi? Wanafunzi walishamwomba aje chuoni wamuelezee matatizo yao si mara moja lakini hakuna utekelezaji kabisa sasa kwanini asiaibishwe mbele za wageni wake? Acha Unjoro wewe. Wanaokuja hapa Udsm walisomeshwa kwa kodi za wazazi wetu iweje wasione umuhimu wa kulishughulikia linalotuhusu? Nawe Unahusika.
 
hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo

Wewe bata kweli yani mgeni mwenyewe Mu7? Kwani yy mgeni na hayo mambo? Kaa kimya acha wanaojua umuhimu wa hayo mambo wachangie wewe
 
Wametumwa na Chadema ili kumuaibisha raisi wetu. Hawana lolote hao. Watakula virungu wakalale.
 
Wametumwa na Chadema ili kumuaibisha raisi wetu. Hawana lolote hao. Watakula virungu wakalale.

kaka mi naona kama ni vizuri ukae kimya,wanachokifanya wanafunzi ni sawa kabisa na kuhusu Mu7 yeye mwonyewe nchini mwake kuna machafuko kwahiyo hakuna cha kushangaza hapa madai yao yana maana kuliko huo upuuzi wanaoufanya hapo.
 
Rais gani tena kasomea uchumi na leo nchi inayumba kwa uchumi? akacheze mdundiko make kashindwa kuongoza
Wametumwa na Chadema ili kumuaibisha raisi wetu. Hawana lolote hao. Watakula virungu wakalale.
 
hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo

Kwani hao wageni unaosema nini wasichokijua nchi hii? Aibu ipo kabla ya leo. Wacha vijana wadai haki yao.
 
Kuna watu hawakwenda chuo ama wamesahau msoto wake,leo hii wanawakebehi wanafunzi wanaodai haki zao,sasa unadhani watakula nini kama hawana mkopo?!Aibu?unataka watu wafe kwa njaa!!?Nenda UDSM uone watu wanavyopiga dash menu,inauma sana.
 
hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo
What? r u out of ur mind? Ni Tz. ipi wewe unaishi? Muda wa kufichiana madhambi umeisha usituchanganye na wewe. Tafuta muda wako uende basi magogoni ukaandamane kivyako tuone kama utafanikiwa!
 
tumeongeza mikopo kwa elimu ya juu kutoka bil56 mwaka 2005 mpaka bil 306 mwaka 2011 kama wewe hujapata subiri 2015! natania tu mjomba daini chenu bana!
 
Back
Top Bottom