UDOM vs UDSM

Mnanikera mnapochanganya lugha.Chagua moja,ama kiingereza au kiswahili.Watanzania tunakuwa dhaifu ktk lugha kutokana na hilo ILA UDOM bado kabisa jamani.UDSM ni chuo bora si TZ tu bali Afrika mashariki na Afrika.Kama elimu ni majengo,basi Udom ni chuo bora!

Discussion ya ajabu ktk ulimwengu wa wasomi! Inatia mashaka kuona wasomi badala ya kujadili masuala ya msingi tunajadili UDOM na UDSM

MASIKINI POLEE MDOGO WANGU! ..............haya yote ni kutokana na kufutwa kwa mashindano ya UMITASHUMITA kipindi cha awamu ya tatu so uliruka stage ya kushindana kwa shule vs shule, vyuo n.k , ndo maana umefika chuo unataka kuirudia step uliyoiruka mpaka unawaza UDOM vs UDSM

Duh!mngejua matatizo ya UDOM mngekaa kimya. Maprofesa hawatofautiani na wanafunzi wanalia shida tu

sio Udom tu matatizo yapo vyuo vyote tz. Ila Udom matatizo yanasovika sio God made.

Mnanikera mnapochanganya lugha.Chagua moja,ama kiingereza au kiswahili.Watanzania tunakuwa dhaifu ktk lugha kutokana na hilo ILA UDOM bado kabisa jamani.UDSM ni chuo bora si TZ tu bali Afrika mashariki na Afrika.Kama elimu ni majengo,basi Udom ni chuo bora!
UDOM ni Chuo Kikubwa!

pumba Tupu Udsm Ndo kinatoa walimu Udsm kinachukua cream of Nation Udsm wakigoma pesa wanapewa Udsm Kila mtu anajaza choice ya kwanza Udsm unamaliza umemit na maprof udom unafundishwa na madokta Bt kwa hekari udom wanatisha Ila wote Vilaza bora nileyesoma UK

co kwamba umesoma india?

Nna mashaka na elimu yako mkuu kama kweli umeipata nje,we expected much more than what you wrote kama what you said is true,labda umesomea certificate we doubt if it is a degree or more,so sad

..............Kuna mambo ya msingi kujadili,mimi uwa nakereka watu wapoleta thread ati UDSM v/s UDOM,MZUMBE v/s UDSM huku ni kukosa kazi..leteni thread tujadili namna ya kuinua elimu yetu amabayo hata huku UDSM,MZUMBE,SUA nk imeshuka sana..mtu aliyesoma UDSM miaka ya 2000 tofauti na mtu anayemaliza sasa,mtu aliyesoma Mzumbe pindi inaitwa IDM ni tofauti kabisa na mtu anayemaliza leo...hizi ndio facts tunazopaswa kujadili na sio Mzumbe v/s UDSM Or UDOM nk............

UDSM + UDOM = 0

tafuteni passport msafiche mbelembele huku ( mtoni) muone vyuo vya maana! ...

Mtakaa kusifia vyuo vya wenzenu mpaka basi

Back
Top Bottom