UDOM vs UDSM



nyie ndio mnaofanya udom idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
Hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
hahahahahahahahahaha uwiiiiiiiiii
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

Yaani wewe ndo ulikuwa unajiandaa na UE next week???? Njoo uishi UDSM hapa japo siku mbili uone kama utaweza!!!
 
kamavipi mkaekimya 2megoma cc mbwembwe z nn kitaan; its me udom maana wengine hamjui hata maana ya mgomo kulen samak 2

ha ha ha ha ha ha ha!!! Mlikuwa wapi kugoma tangu mwanzo??? Watu mko mwaka wa tatu ndo mnakumbuka kuwa mlitakiwa kupewa hela mwende field???? Poleni Nyie na thread zenu mbovu mbovu
 
ndugu yangu acha ujinga, hayo majengo hapo udom na uwingi wa wanafunzi usikupe kichwa ukishatoka hapo utahukukiwa wewe peke yako kweye soko la ajira, pili usitufanye kuwa sisi wajinga walimu karibu wote wa udom ni wale waliokuwa wanafunzi wa UDSM na hata walimu waliokuwa udsm naweza nikasema hata 80% yao ni kutoka udsm sidhani kma utakuwa na haki ya kuidharau UDSM........
MIGOMO yote yenye manufaa na hiyo sh 5000 unayopata leo ilipatikana pale, nadhani we ulikuwa bado mdogo kipindi hicho

ushauri wangu usifananishe chuo cha miaka mingi na hicho chuo cha miaka hata isiyofika 7

ukitaka maelezo zaidi niambie ............

siamini kama yai la kuku ni tamu kuliko kuku mwenyewe......

Anadharau UDSM wakati juzi tumegoma ili waongezewe boom?? Nani mwingine aliunga mkono mgomo ule wa juzi hapa UDSM?? Tulipogoma 2008 anayajua matunda yake?? Kitovu cha Utetezi wa Haki za Wanyonge!Suala la Academic excellency,CHUO kina mchango wake, lakini lazima mhusika ukaze zaidi ili kuwezesha kichwa chako kutoka na kitu............!! La sivyo utaishia kuwa Ilonzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
UDOM ni bora kuliko UDSM..........Hapana

Kwangu mimi OUT ni bora mara 100 ya UDOM.....

UDSM ndicho chuo bora kabisa Tanzania........Btw,ni akina nani alumni wa UDOM,wewe?........UDOM ni kituo cha kutengeneza vilaza/wahitimu wasio na sifa.......Period.

Iache Mlimani iite Mlimani bwa'mdogo.......
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
i cant bileave kama msomi tena wa chuo kikuu anaweza kuandika ujinga kama huu...hivi wewe unaona ufahari kugoma eeeh ..huoni kuwa wenzako wa udsm wana akili za kufikiri na unafikiri wanakuwa wanagoma bila sababu.....wale wasomi wametulia kaka...kwanza PALE NDO CREAM YOTE YA MAZIWA IPO PALE na ndo mana hata wakigoma serikari fasta inafika ......

pia nahisi wewe upo first year tena nawasiwasi na hata akili zako kama ziko timamu kabisaaaa ....au uliibia pepa ya form six...wenzako wanasikitika kurudi home kwasababu wanakosa masomo wewe unashangilia?????

hivi baba yako na mama yako wakisoma hii maada uliyo iweka hapa unafikiri watafikiria nini.???

kaka usituletee upuuzi hapa wa kijinga tena maada zisizo na kichwa wala miguuu
 
You all hazijatimia kichwani.sion tofaut na watu wanaoshindana mmoja anajisifia Mtwara na mwingine Mbeya.pumbavu kabisa nyie na hi ni kutokana na elimu zenu za Kumeza.mnaacha kuweka mambo ya msingi kwenye ii forum et mnashindana kati ya udsm na udom.na je akitokea mtu wa Ifm au IAA arusha wakajigamba kuwa mazao ya vyuo vyao ndo yanaongoza kwa kuajiriwa mara mbil ya vyuo vyote mtasemaje.if ur fool beta b quite
 
Kwa hali hii,iko hatari kubwa mbele yetu, kama tunafika mahali pa kupambanisha vyuo kwa mantiki ya kugoma tunapoteza maana halisi ya intellectuals kwani nijuavyo mimi migomo inaletwa na mipango mibovu kwenye mfumo na sio uhodari wa wagomaji, kama mifumo imgekuwa ni rafiki kwa wasomi hata migomo ingekuwa kudai mazingira ya utafiti, haki za kuchapisha,vifaa vya kujifunzia na sio posho za kujikimu na field,niambieni kama msomi huyu atawaza hata kutafiti kwa minajili ya kugundua mambo mapya katika fani yake.Cha msingi ni kupambanisha hoja za kisomo zitakazopelekea kutatatua changamoto za elimu ya juu na sio kushindanisha uhodari wa kugoma.
 
sijui muanzisha mada ametumia which part of brain kuamua kuandika thread hii..najuta kufungua hii pg
 
[QUOTE mchemsho;2129393]sijui muanzisha mada ametumia which part of brain kuamua kuandika thread hii..najuta kufungua hii pg[/QUOTE] Mchemsho acha dharau.
 
You all hazijatimia kichwani.sion tofaut na watu wanaoshindana mmoja anajisifia Mtwara na mwingine Mbeya.pumbavu kabisa nyie na hi ni kutokana na elimu zenu za Kumeza.mnaacha kuweka mambo ya msingi kwenye ii forum et mnashindana kati ya udsm na udom.na je akitokea mtu wa Ifm au IAA arusha wakajigamba kuwa mazao ya vyuo vyao ndo yanaongoza kwa kuajiriwa mara mbil ya vyuo vyote mtasemaje.if ur fool beta b quite
Nadhani mbeya hukujui ndo maana unalinganisha na mtwala. Tafadhari badili mfano.
 
Upupu tuu, kwanza kujibizana na wewe Ilonza ni kujidhalilisha, you donnot deserve. Usivyo na akili hapo UDOM mnafundishwa na hao hao malecturer waliotoka UDSM, yaani unatukana mamba huku hujavuka mto, Crazyyy
 
Back
Top Bottom