Udom vipi wadau?

kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao

Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala!
 
Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU!
 
Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU!

kesha ukiomba, je waliomba administrative officer ukiambiwa idadi yao s ndiyo utachoka kabisa halafu nafasi 15
 
Vigezo kibao next time wanaweza wakaomba muweke original kabisa................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom