Udom vipi wadau?

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wadau habarini za leo, naomba kuuliza kuhusu zile nafasi za udom,kuna mwenye tetezi zozote jamani atujuze hapa? vipi wameitwa watu au bado tuendelee kusubiri?
msaada wenu pls
 
mmeomba wengi sana, sasa hivi zinachambuliwa kupunguza watu, wale walioweka documents ambazo hazikubaliw kama umetuma vyeti ambavyo havijathibitishwa na wakili au mahakama. Pickup na magunia ilitumika kubeba hizo application zenu.
 
kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao
 
wewe hilo sharti lipo na kama hujaweka jihesabie umetemwa maana zilikuwa zinatafutwa sababu za kupunguza we nafasi chache application maelfu, kha !labda omba ukikesha na ukiona jina lako limekuwa shortlisted mshukuru mungu. Anyway pole sana
 
poa wadau tupo wengi tulioomba but mi nilicertify chet kimoja tu kukwepa gharama ee Mungu nikumbuke muja wako
 
kha!certification ya cheti kipi?ingawa kila ulichoattach kilitakuwa kuwacertified. Unaweza kupata zali mkuu. Na cover letter umeandika kwa mkono au umetype?
 
hii miajira ya kubembeleeeeeeeeeza, mtu ukamfanyie kazi, tena mazingira kama ya udom, then unambembeleeeeeeeeeeeeza, khaaaaaa,
 
mmeomba wengi sana, sasa hivi zinachambuliwa kupunguza watu, wale walioweka documents ambazo hazikubaliw kama umetuma vyeti ambavyo havijathibitishwa na wakili au mahakama. Pickup na magunia ilitumika kubeba hizo application zenu.

Katika original advert kulikua hakuna maagizo ya kuverify vyeti so umetuongopea kweupe.
 
wewe hilo sharti lipo na kama hujaweka jihesabie umetemwa maana zilikuwa zinatafutwa sababu za kupunguza we nafasi chache application maelfu, kha !labda omba ukikesha na ukiona jina lako limekuwa shortlisted mshukuru mungu. Anyway pole sana

What matters ni Qualification na vyeti kama vipo na sio provisions, Wewe hata uverify vyeti kwa AG bila GPA ya kutosha ndo ufikirie mambo mengine kwa kuweka vikwazo vya kufikirika.
 
kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao

hata mm namshangaa hilo sharti amelitoa wapi na wakati tangazo haalikuwa na sharti hilo
 
hii miajira ya kubembeleeeeeeeeeza, mtu ukamfanyie kazi, tena mazingira kama ya udom, then unambembeleeeeeeeeeeeeza, khaaaaaa,

mkuu kwani mazingira yakoje udom? mbona mnadis?
 
unajua chuo chenyewe ndo bado, watu wamewekana pale, esp mgt, kwa hiyo watu wanaamini wao ndo wanajua sana na chuo ni mali yao...eti wamewekwa na 'mkubwa' so huwatishi, asa mazingira kama hayo duh...labda kama uko upande wa academic, but kama ni mgt...huh
 
Katika original advert kulikua hakuna maagizo ya kuverify vyeti so umetuongopea kweupe.
PITIA ROMAN VII HAPO NILIPOWEKA RANG YA BLUE, NENDA PIA KWENYE ORIGINAL ADVERT

GENERAL APPLICATION CONDITIONS:

i. All applicants must be Citizens of Tanzania
ii. Applicants must be less that 45 Years, i.e. born after 1
January 1968
iii. They must attach an up-to-date Curriculum Vitae (CV) having reliable contact postal
st

address, e-mail address and telephone numbers
iv. They must attach dully filled and sealed referee report forms a vai l ab l e a t
The University of Dodoma (for those who cannot access the form must submit names and

4addresses of at least two referees and mode of communication, e.g. telephone, fax and
email)
v. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement
vi. The title of the position and institution applied for (COLLEGE/SCHOOL) should be
written in the subject of the application letter and marked on the envelope; short of
which will make the application invalid
vii. Applicants must attach their relevant certified copies of Academic/Professional
certificates i.e. Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates and
transcripts; National Form IV and Form VI Examination Certificates; Computer
Certificates; Professional certificates from respective boards; One recent passport size
picture and birth certificate
viii. Form IV and VI results slips, Testimonials and Partial transcripts are strictly not
accepted
ix. Applicants employed by public institutions must route their application letters through
their respective employers.
x. Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania Commission for
Universities (TCU)
xi. Women are highly encouraged to apply
xii. Application letters should be written in English
xiii. Only short listed candidates will be informed on a date for interview
xiv. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will
necessitate to legal action

MODE OF APPLICATION:

Complete application package that consists of application letters supported with detailed
Curriculum Vitae, relevant copies of certificates i.e. Degree/Diploma certificates /testimonials,
academic transcripts plus Secondary School Certificates and dully filled referee report forms
should be submitted to:

DEPUTY VICE CHANCELLOR,
(ACADEMIC, RESEARCH AND CONSULTANCY)
UNIVERSITY OF DODOMA,
P.O. BOX 259
DODOMA

DEADLINE: 10
th
September, 2012
 
Rejeeni tangazo la UDOM nime-attach kama lilivyo kisha mjisahihishie na kuadhibiana wenyewe kila mmoja kwa kadiri ya haki yake
 
Attachments

  • UDOM new administrative posts.pdf
    432.3 KB · Views: 378

Similar Discussions

Back
Top Bottom