Udom baadhi ya course hakuna miaka yote mitatu field so msijisumbue kupigia hesabu hela ya field. Tena course za social nyingi hakuna. . . .
taja baadhi ya program ambazo hazina field, kwa manufaa ya uma
nimekuwa interested na detail zako hapo juu. Am sor ww unasoma koz gani?
Udom baadhi ya course hakuna miaka yote mitatu field so msijisumbue kupigia hesabu hela ya field. Tena course za social nyingi hakuna. . . .
basi zipi zisizo na field mwaka wa kwanza?Tukisema tuzitaje cozi zenye field tutakesha. Ni vizuri tukazitaja zisizo na field maana ni chache sana
business je?wa social,wote hawana field
business je?