UDOM kokotoeni hivi kupata asilimia...

charm_chiddy

Member
Aug 12, 2012
33
3
huu ni mfano wangu
kias cha mkopo-3547500
ada-1200000
field-600000
meals and accomodation-1837500..
Kwa kuwa unatakiwa ulipie 282500 kabla ya tar 30 sept,iko kias hatuta kihusisha kwenye hesab yetu..fanya hvi;
(mkopo-meal n ac)3547500-1837500 unapata 1710000..
1710000-field unapata 1110000..
1110000-275000(ya book allowance and etc) unapata 835000..
Now kujua percent..tek hko kias cha mwisho/ada times 100..like this
(835000/1200000) unapata 0.696..
Then 0.696 times 100 unapata 69.6 percent..which is approximately equal to 70..so mi nna 70 guys..2mien vichwa vyenu,njia ndo hyo apo!!all the best.(X-PCM GUY)
 
and according to udom walivyo explain..natakiwa kumalzia only 360000 kutoka mfukon mwangu..atleast apo naweza pumua kidogo
 
huu ni mfano wangu
kias cha mkopo-3547500
ada-1200000
field-600000
meals and accomodation-1837500..
Kwa kuwa unatakiwa ulipie 282500 kabla ya tar 30 sept,iko kias hatuta kihusisha kwenye hesab yetu..fanya hvi;
(mkopo-meal n ac)3547500-1837500 unapata 1710000..
1710000-field unapata 1110000..
1110000-275000(ya book allowance and etc) unapata 835000..
Now kujua percent..tek hko kias cha mwisho/ada times 100..like this
(835000/1200000) unapata 0.696..
Then 0.696 times 100 unapata 69.6 percent..which is approximately equal to 70..so mi nna 70 guys..2mien vichwa vyenu,njia ndo hyo apo!!all the best.(X-PCM GUY)

field allowance yenyewe wanatoa kwa asilimia sasa unapokuwa na constant amount ya field sikuelewi hapo ndugu, unless you know percentage ya mkpo huwezi kokotoa field allowance!
 
i dnt knw..r u sure brother?if so..bx im wrong..if ts 600000(in approximation)..then i am absolutely right
 
hakuna kitu kama approximation bodi ya mkopo ndugu, ONLY FACTS! mkopo unapewa kwa asilimia na kila kitu kinaenda kwa hiyo percentage EXCEPT MEAL ALLOWANCE NA STATIONERY!
 
hii kitu itachanganya wengi. Kwanza si kila course inaenda field kila mwaka, couese nyingine zinaenda field mwaka wa 2 kwa hiyo si kila mtu amewekewa ela ya field kwenye ela aliyopata.
 
yah..tru that,they better note..mine ina field,so kama m2 courz yake haina field 1st yrz,asi minus hela ya field..aende direct
 
hakuna kitu kama approximation bodi ya mkopo ndugu, ONLY FACTS! mkopo unapewa kwa asilimia na kila kitu kinaenda kwa hiyo percentage EXCEPT MEAL ALLOWANCE NA STATIONERY!

kaka mimi ndio nimeaproximate ili nifanye hesabu yangu,sio body..ndio mana hadi jibu nimeli aproxmate pia bro..au hujasoma hesabu bro,
 
Kwa urahisi hebu tajeni kozi zenye field mwaka wa kwanza ili tujue wote kiwango halisi cha mkopo tuliopata.
 
field allowance yenyewe wanatoa kwa asilimia sasa unapokuwa na constant amount ya field sikuelewi hapo ndugu, unless you know percentage ya mkpo huwezi kokotoa field allowance!

nimekuwa interested na detail zako hapo juu. Am sor ww unasoma koz gani?
 
Udom baadhi ya course hakuna miaka yote mitatu field so msijisumbue kupigia hesabu hela ya field. Tena course za social nyingi hakuna. . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom