UDOM kokotoeni hivi kupata asilimia...

Udom baadhi ya course hakuna miaka yote mitatu field so msijisumbue kupigia hesabu hela ya field. Tena course za social nyingi hakuna. . . .

taja baadhi ya program ambazo hazina field, kwa manufaa ya uma
 
nimekuwa interested na detail zako hapo juu. Am sor ww unasoma koz gani?

Without prejudice! mimi ni seniour wenu mnaoingia chuo maana nimemaliza chuo mwaka jana...ila siyo UDOM! you can ask ur intending question kama ntakuwa naelewa nta reply accordingly!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom