Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 738
Habari zenu wanajamii wenzangu, napenda kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa ya boom hapa UDOM atujuze imekaaje, maana wiki ya pili inakatika hii wakati hata dalili hakuna, na hali inazidi kuwa mbaya kwetu watoto wa wakulima. Kulikoni?