Udini wainyemelea CCM?

Wasiwasi wa bure tu.

Nji hii hakuna Wakristo safi ama Waislamu safi wa kutosha ambao wanaweza kuwa na agenda ya kujipendelea kwa hiyo siamini kama wapo wenye sifa za kuwa na agenda na kidini.

Kwanza dini zenyewe haziruhusu kujipendelea katika uongozi kwa mizingi ya dini.

kama kweli nchi hii ingekuwa na viongozi amabao dini zipo ndani ya nyoyo zao tusingekuwa na ufisadi wa kutisha kiasi hiki.
 
Yapo mambo ktk maisha ya uwongozi wa mtu hata kama yatakuwa yanapotezewa lakini kwa wenye akili watayatolea macho nakuhakikisha hayatimii kwa malengo ya mtu binafsi ila utaifa kwanza na hadhi na heshima ilio tukuka ya taifa hili yakutokuwa na udini au siasa zisizo fungamana na upande wowote.

Mh Rais wa Tanzania ndie rais pekee ktk taifa hili alie wahi kuwa na ajenda ya siri ya udini kama silaha yakuingia na kutoka mbele ya watu wa dini yake.

Huyu ni Rais alie kuwa na tabia yakujifanya kama asikii na sm tm hujibu kwa vijembe wapinzani wake kuwa kelele za chura hazimnyimi usikinz au kunywa maji tembo. Kwa wale mnafuwatilia siasa za taifa hili utagunduwa huyu ndie rais pekee alie ingia na spd100 kama sio1000 kutaka mahakama ya kadhi iwepo ktk taifa hili, nakama sio mbinu za hali ya juu za bunge letu tukufu na hekima za watu wachache ndani ya serikal bila kuwasahau viongoz wa dini, leo taifa hili lingekuwa ndani ya mahakama ya kadhi, ashukuriwe Mungu alie tupa watu majasiri wachache ambao waliweza kumkemea ktk hili nakupunguza nia yake ya ndani.

Tukiacha hili tuje ktk ajenda yake nyingine ya siri yakuhakikisha uislamu unakuwa juu na kusahau either ukiwa muislamu au mkiristo ama mpagani stil sisi ni watanzania na hatupasi kujibaguwa kwa ukabila ama udini, niuteuzi wake wa Ma DC.

Kubali ama ukatae Rais wetu amejitahidi sana kuingiza watu wa dini yake kwa wing ktk u DC, japo stil bado zipo jitihada kumkemea ktk hili, tuje ktk uteuzi wa majaji, uteuzi wa wakuu wa mikoa, uteuzi wa viongoz wa usalama ktk nafasi nyeti, uteuzi watu muhimu ktk nafasi muhimu, Rais wetu udini umemtawala kwa siri sana.

Napenda kumsihi kuwa makini hata angechaguwa wa kiristo wote ktk nafas za juu hao ni watanzania ktk kaz na udin hauna nafasi. Tanzania mpya pasipo udini na marais kama Kikwete inawezekana.

Mh Kikwete mimi nampa ushauri wa wazi ni lazima amuige Mkapa aliye wajibu wa islam ya kuwa "YEYE SIO RAIS WA WAISLAM WALA SIO RAIS WA WAKRISTO ILA RAIS WA WATANZANIA WOTE KTK JAMUHURI HII YA TANZANIA".
 
YKubali ama ukatae Rais wetu amejitahidi sana kuingiza watu wa dini yake kwa wing ktk u DC, japo stil bado zipo jitihada kumkemea ktk hili, tuje ktk uteuzi wa majaji,uteuz wa wakuu wa mikoa, uteuzi wa viongoz wa usalama ktk nafasi nyeti, uteuzi watu muhimu ktk nafasi muhimu, Rais wetu udini umemtawala kwa siri sana.

..mh!, ni afadhali yeye wa siri kuliko wewe wa dhahiri. Mada kama hizi zinafaida gani??
 
Very shallow analysis. Jamma ametoa blanket accusation bila hata kutoa takwimu au matamko na vitendo vinavyounga mkono hisia hizo. Mimi najiuliza kama sifa za kuteuliwa kwa mtu ni dini yake au uwezo wa kielimu na kiutendaji wa mtu anayeteuliwa. Ni vizuri mtoa mada aeleze ni nani aliyeteuliwa akiwa hana sifa yoyote zaidi ya dini yake, katika teuzi zilizofanywa na Rais huyu.

Hili jinamizi la udini tunalolipalilia lina hatari na mtoa mada hii ndiye bila shaka aliye-misunderstand hata suala la Islamic Banking na kudhani kwamba ni namna ya kuingiza udini kwenye mabenki kumbe ile ni product ambayo mabenki yameamua kuiingiza sokoni ili kuvuta wateja.

Brother kwa kauli zako hizi, wew ndiye unayenuka udini na yaelekea ukipewa kajinafasi ka mamlaka, basi wale wa dini nyingine watakukoma!
 
TumainEL,

Kule shule ya msingi mwalimu wako wa IMLA alisahahu kukufundisha "paragraph". Umeandika kama vile unawahi basi la Mwenge - Mbagala. Insha yako inatia uvivu kuisoma
 
Katika hotuba za Hayati Mwl. Julius Nyerere; alisema BBC ilitangaza baraza lake la mawaziri limejaa wakatoliki. Alitafuta takwimu kwanza kabla ya kujibu hoja ile. Ilikuwa vigumu kutumia kiapo kwani walikuwa wanaapa kwa kushika biblia, hivyo alimtuma mtu amfanyie hiyo kazi. Baadae alikuta shutuma ya BBC si kweli kwani wengine walikwisha kuwa sio wakatoliki tena kwa kuoa mke zaidi ya mmoja!

Sasa ndugu TumainiEL lete takwimu na maelezo (narrative) kuipa hoja hii uzito!
 
mi nadhani meseji senti hata km baadhi mkibisha kwa maslahi binafsi na kwa upendo wenu wa dhati wa maisha bora kwa kila nyie...
TumainEL,

Kule shule ya msingi mwalimu wako wa IMLA alisahahu kukufundisha "paragraph". Umeandika kama vile unawahi basi la Mwenge - Mbagala. Insha yako inatia uvivu kuisoma
 
..mh!, ni afadhali yeye wa siri kuliko wewe wa dhahiri. Mada kama hizi zinafaida gani??

maada kama hizi zinafaida sana.........kwako wewe mwenye maisha bora huoni umuhimu wowote!!!!!!!!
hili jambo ni zito sana na lazima watz walielewe vizuri kwani rais anamakusudi mabaya na ukristo ila wakristo walichemsha kwa kumuita jk chaguo la mungu..mungu mwneyewe ndiye ajuaye chaguo lake....
 
Mnmmmmmnnn!!!!!!!!!!pamoja na uozo wa JK kwa hili nakumbuka maneno ya Haji Manara ya kwamba hata SAA MBOVU KUNA WAKATI INAONYESHA MAJIRA YA KWELI, kama ni udini basi JK amebezi sana upande wa Ukristo kuliko uislam unaosema,angalia hata wasaidizi wake wengi hasa ktk baraza la mawaziri na manaibu robo 3 ni wakristo.

Angalia hata uchaguzi wa wateule wa raisi kama wakurugenzi wengi ni wakristo. Kwa kifupi tuache hoja za mijadala ya DINI isiyokua na data za uhakika
 
Back
Top Bottom