Udini wainyemelea CCM?

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
THE National Executive Committee of the Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) has proposed Ms Amina Nassoro Makilagi for the vacant post of General Secretary of the party’s Women wing (UWT).

The statement signed by the Party’s Publicity Secretary Mr John Chiligati said Ms Makilagi has been proposed to the wing’s Executive Committee to replace Ms Husna Mwilima, who was recently appointed District Commissioner for Tandahimba District, Mtwara Region.

In another development, the Party also shortlisted Mr Harun Mkalimoto, Mr Juma Rajab Simba and Mr Salim Mwaking’ida for the post of Dar es Salaam Regional CCM Publicity Secretary.

It also approved Ms Mwajuma Athman Labia, Mr Alhaji Salim Simba and Colonel (rtd) Tajil Mwinchumu for the post of Shinyanga Urban District Party Chairman.
 
Inafurahisha hii, na umeiweka katika namna ambayo kwa harakaharaka inazua maswali!
 
Hii ni obvious small minds ziko hivyo wao hawaoni beyond mabega yao, na ndio maana pamoja na yote kuondoka kwa Lowassa kumewafurahisha kwa kuwa mbele yake wasingeweza kufanya huo upumbavu wao.

Tatizo ni unafiki wa wa kina Chiligati hawawezi kukemea kwa kuwa wanajiona hawakustahili hizo position walizonazo, na kwa vile chama kimajaa wanafika hakuna atakae thubutu kuhoji hilo angalia UVCCM wamejaa wakina nani?

Tutake tusitake lazima tutamwaga damu kikwete anatupeleka huko expeditiously na sisi tunamuangalia tu hatutaki kumtoa.

Mimi naomba Mungu usiku na mchana Lowassa arudi maana ndio kupona kwetu jamani wameshashika kasi hawa watu hawarudi nyuma, hawana haya wala aibu, angalia walivyogeuza mashirika yetu, ndio maana yanazidi kufa, huwezi kuongoza nchi hii na dini moja JK utake usitake huwezi kuligeuza hilo.

ACHA KUTUHARIBIA NCHI YETU WEWE UMEPEWA NAFASI USIYOSTAHILI SHUKURU MUNGU PITA TUACHE SALAMA MUOGOPE MUNGU UNAYOYAFANYA YATAMWAGA DAMU ZETU WATOTO WETU WATAGEUKA MAYATIMA TUMZUIENI JAMANI CHONDE CHONDE
 
kwani kila anaeitwa Amina ni Muislam? na kila anaeitwa John ni Mkiristo?

na jee kama kwa nafasi hizo ni watu wa dini ya kina Amina tu walionekana wanafaa kujaza, wasipewe na wapewe kina John japo hawakuonekana kufaa?
masuala mengi majibu kidogo
 
Kwani anayependekeza majina ni Kikwete? Au huko wanakopendekezwa hakuna Wakristo?

Kukosa uadilifu, dira na muelekeo wa kitaifa ndiyo msingi mkuu wa tatizo hapa. Tunaanza polepole kukosa imani na uteuzi wowote hata kama imetokea bila kupangwa wakawa dini moja.
Tunachotakiwa kuangalia kwanza ni UWEZO wa watu hao na siyo dini zao!

ANGALIZO
Uteuzi wa viongozi katika chama na serikali unafuata vigezo gani?
Undugu,Urafiki,Ushemeji, Utajiri, Ufadhili au UWEZO WA KUONGOZA kwa faida ya wote?
Nani anapendekeza majina? Idara nyeti za dola haziendeshwi kwa Undugu,Urafiki,Ushemeji, Utajiri, na Ufadhili ?

TAFAKARI KWA MAKINI, CHUKUA HATUA KWA SEHEMU YAKO KWA FAIDA YA WOTE!
 
Hata kama ni dini moja, swali kubwa la kujiuliza ni je wana uwezo wa kuongoza?
 
Mmesahau kama hawa ndio waanzilishi wa Chama? au mmekua na short memory wakati nyie mnashabikia wakoloni, wenzenu walianzisha chama kwa kupambana na wakoloni

wakati huo nyie mnawaona wazungu kama yesu, kwa sababu picha ya YESU ni mzungu mlikataa kabisa kujiunga na chama. Kwa nini usijiunge na CHADEMA cha wakiristo kinachoongozwa na Mchungaji Slaa?
 
Jamani.. udini siyo idadi!!! na udini siyo majina!
MMKJ hata tukijaribu kulifumbia macho jambo hili liko wazi.

Unakumbuka ni sisi M wenyewe alioanza kulipigia kelele hili nyakati za kafu. Na watu wote tukafanywa tuamini ambayo leo wanayafanya.

Kwa sababu zile zile hata watu wakianza kulipigia kelele kwa sisi M basi wacha tuamini kwamba ni kweli.

Isiwe kwamba kwa kuwa lilifanyika kwa kafu ilikuwa haramu na leo likifanywa na sisi M tuone sawa.

Kila linaloendelea katika chama hicho twaendelea kukiangalia kwa uangalifu mkubwa.

Tukijaribu lifumbia macho leo tutalipigia kelele kesho wakati giza linaingia.

Tusijaribu kuficha kila ukweli tunaouona na kuujua.
 
Hii ni obvious small minds ziko hivyo wao hawaoni beyond mabega yao, na ndio maana pamoja na yote kuondoka kwa Lowassa kumewafurahisha kwa kuwa mbele yake wasingeweza kufanya huo upumbavu wao.

Tatizo ni unafiki wa wa kina Chiligati hawawezi kukemea kwa kuwa wanajiona hawakustahili hizo position walizonazo, na kwa vile chama kimajaa wanafika hakuna atakae thubutu kuhoji hilo angalia UVCCM wamejaa wakina nani?

Tutake tusitake lazima tutamwaga damu kikwete anatupeleka huko expeditiously na sisi tunamuangalia tu hatutaki kumtoa.

Mimi naomba Mungu usiku na mchana Lowassa arudi maana ndio kupona kwetu jamani wameshashika kasi hawa watu hawarudi nyuma, hawana haya wala aibu, angalia walivyogeuza mashirika yetu, ndio maana yanazidi kufa, huwezi kuongoza nchi hii na dini moja JK utake usitake huwezi kuligeuza hilo.

ACHA KUTUHARIBIA NCHI YETU WEWE UMEPEWA NAFASI USIYOSTAHILI SHUKURU MUNGU PITA TUACHE SALAMA MUOGOPE MUNGU UNAYOYAFANYA YATAMWAGA DAMU ZETU WATOTO WETU WATAGEUKA MAYATIMA TUMZUIENI JAMANI CHONDE CHONDE
Sasa nani anaonekana mdini hapa, wewe au hao walio wachaguwa!?
 
Mmesahau kama hawa ndio waanzilishi wa Chama? au mmekua na short memory wakati nyie mnashabikia wakoloni, wenzenu walianzisha chama kwa kupambana na wakoloni

wakati huo nyie mnawaona wazungu kama yesu, kwa sababu picha ya YESU ni mzungu mlikataa kabisa kujiunga na chama. Kwa nini usijiunge na CHADEMA cha wakiristo kinachoongozwa na Mchungaji Slaa?
Haya mawazo ni ya kibaradhuli kwelikweli! Yesu anahusika na nini na mambo ya siasa? Watu wengine bwana!
 
Picha ya YESU inaonyesha wazi yesu alikua Mzungu, Right? ndio maana mababu zako hawakutaka kujiunga na CCM/tanu kwa sababu kilikua na mkakati wa kuwang'oa wazungu, wakati huo wafuasi wa yesu {kama picha yake ya kizungu} waliwakumbatia wazungu wakifikiri ni watakatifu kama yesu

Kwa sababu waanzilishi walikua waislam na ndio bado ni majority nchini na ccm pia. kama upendi chama kajiunge chadema kinachoongozwa na wachungaji. full stop.

Soma article vizuri usichague tu sehemu ukaanza kulalamika na dhani sasa utafahamu kuwa yesu hapa sio issue, issue ni vipi mko wachache kwenye chama
 
Pumba tupu!
 
Umekunywa nini wewe? Mbona unaongea mazingaombwe waziwazi? Yesu alikuwa mzungu? Vipi wewe? Halafu Yeye anaingiaje kwenye Siasa na vyama vyake? Wewe nawe!
 
Sasa mlikuwa wapi wakati Tanu inaanzishwa kupambana na wazungu?
 
Back
Top Bottom