Udadisi tu...

I dont think so..! smal hauz zinamambo nyie acheni wengine ndo ivo hutoa mitandao yote,mtu mzima unabebwa,ikulu na ujanja wake inakua ndogo na kuwekwa kwenye kisosi..! waifu ni waifu tu bana
 
huyo unaemdekeza home kwa kuhofia hawezi kuna mtu anamsimamia vidole, ni small house ya mtu mwingine.
 
Msitake kudanganya umma kuwa wanaume wanatoka nje ya ndoa kwa kuwa wake zao hawawezi himili yale wanayofanyiwa nyumba ndogo......mwanamke ni mwanamke na hawatofautiani sehemu zao za siri wala nguvu pale wanapoolewa........Ila najua kuna mambo machafu wanaaume wa kwenye ndoa wanafanya na nyumba ndogo,sasa kama ni hayo wanawake wenye ndoa kama ulimwoa kwa sababu anajipenda,ana hofu ya Mungu na wewe unampenda kweli na pengine ni mama wa watoto wako,huwezi fanya nae.kama ni yale ya kawaida tu wote wanaweza na wasioweza kama anakupenda atajitahidi kiasi cha uwezo wake......Tatizo wanaume tamaaa jamani,yani!:Cry:
Pole michelle, wala sio tamaa, u got to keep him buizy. sio ukikutana na shoga zako basi ni soka mpaka unasahau kwamba una mume hahah
 
ukichanganya na majukumu ya mama.. Ndani yanyumba.... ..itafikia pahala maji yatazd unga tu... Mwenyewe uta kumweka pembeni... Naha po ndo smolu hausiz wanakusaidieni!

na hyo small house ikipata majukumu unaikimbia unatafuta ingine au?
 
ukichanganya na majukumu ya mama.. ndani yanyumba.... ..itafikia pahala maji yatazd unga tu... mwenyewe uta kumweka pembeni... naha po ndo smolu hausiz wanakusaidieni!

mmmhhh yanini sasa unajiongezea majukumu na kutokuwa na amani ......
si presha ita zidi???
 
mara 5 kwa cku unaweza ww? na ndani ya hiyo mara 5 unapokea v4 v4 kw hiyo 5*4=20!! kama unaweza hii wallah we ofice yako iko kona bar.

Halafu ngoja nikwambie wewe ukiolewa unananihiii kila siku sawa hilo moja! Halafu kudo mara 5 kila siku huo uongo sie tunado 1 or 2 basi na nikilasiku shida ipo wapi na hapo ndo jamaa anaonyesha there is no small house ha haha ha ha. Vitano hiyo ni small house once in a while!!!!
 
Back
Top Bottom