Uchumba

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,982
6,465
MKWE:yaaani unakuja kuposa binti yangu huku unatafuna big G?
JAMAA:Mdomo wangu
unanuka nilivuta sigara
MWE:na sigara unavuta?
JAMAA:Nilivuta jana
nilipokunywa pombe wkt niko club
MKWE:eeeeh! Hadi pombe unakunywa?
JAMAA:Nilijifunza wakati niko jela.
MKWE:Mtumeee.....na kufungwa
ulishafungwa?.....!!!!
JAMAA:Yeaaah niliua.
MKWE:Tooobah Jenny kumbe huyu ni muuaji?!!! Hakuna ndoa tena!!! J
AMAA:Kuna mzee alinikatalia posa nikamuulia mbali......
MKWE:eeeeeh.....haina shida kijana wangu harusi tufanye lini?
JAMAA:ha! ha! ha! ha! ha! ha!
 
Angemwambia'' na mimi nilikuwa nataka kunywa sumu ili nife bora umepatikana wa kuniuwa''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom