MKWE:yaani unakuja kuposa binti yangu uku unatafuna big G?
JAMAA:mdomo unanuka nilivuta sigara.
MKWE:na sigara unavuta? JAMAA:nilivuta jana nilipokunywa pombe wkt niko club.
MKWE:eeeh!! Hadi pombe unakunywa?
JAMAA:nilijifunza wkt niko jela.
MKWE:mtumee...na kufungwa ulishafungwa...!!!
JAMAA:yeah niliua.
MKWE:astafighuillah!kumbe muuaji?
JAMAA:kuna mzee alinikatalia posa kwa bnt yake nikamuulia mbali...
MKWE:eeeh...haina shida kijana harusi tufanye lini? @
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums