Je,ungekuwa wewe ungefanyaje?

Nicotompa

Member
Apr 28, 2013
66
13
MKWE;yaani unakuja kuposa binti yangu huku unakula chewing gum{big G}?JAMAA;mdomo unanuka nilivuta sigara,MKWE;na sigara unavuta?JAMAA;nilivuta jana nilipokunywa pombe wakati nipo club,MKWE;heee! Hadi pombe unakunywa? JAMAA;nilijifunza wakati niko jela,MKWE;mtumeee...na kufungwa ulishafungwa!! JAMAA;yeah niliua,MKWE;Astakafiruullah kumbe muuaji?JAMAA;kuna mzee alinikatalia posa kwa binti yake nikamwulia mbali...MKWE;Eeeeh!!...haina shida kijana mzuri vp harusi tufanye lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom