Uchakachuaji wa Ting na Startimes kwa njia ya satellite

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Jambo wote wanaJF leo nimekuja tofauti kidogo na wengine japo wote ni uchakachuaji ila kwa njia tofauti mbalimbali. Kwa wataalam wa JF hakuna mwenye ujuzi wa kuchakachua hawa jamaa wa startimes na ting kwenye decoda kwa njia ya satellite? Maana ukizisearch unazinasa ila zinakuwa zimefungwa kwa VIACSSES,BETACRYPT,IRDETO mwenye maujanja ya unlock code atasaidie!!!!!!!
 
Du!
Guys, give a break to these companies!...watalipanaje mishahara sasa?
 
HAYO SIO MAUJANJA NI WIZI WANDUGU NI SAWA KABISA NA KUIBA UMEME AU MAJI....namnukuu 20% 'SIO KILA UNACHOKIAONA UKADHANI KUPATA INAWEZEKANA'.ONGEZA KIPATO,fikiria njia za kuongeza kipato sio kuiba
 
Du!
Guys, give a break to these companies!...watalipanaje mishahara sasa?
Lakini mkuu hapa issue sio kuchakachua ili usilipe, hapana. issue ni kuwa ada yao italipwa kila mwezi isipokuwa kuna channel zingine za ziada za free wao wanazibana ndio hizo tunataka zichakachuliwe tuzione
 
hawa jamaaa hawalipi kodi,kama wewe ni mteja wao wakikupa risiti utaona kuwa VAT wameandika 000 ila ukienda kununua kitu kingine dukani kwa bei ya buku tisa unakatrwa kodi 1200 fikiria serikali inapoteza kiasi gni kwa huu ukwepaji wa kodi wa hii kampuni
 
Jambo wote wanaJF leo nimekuja tofauti kidogo na wengine japo wote ni uchakachuaji ila kwa njia tofauti mbalimbali. Kwa wataalam wa JF hakuna mwenye ujuzi wa kuchakachua hawa jamaa wa startimes na ting kwenye decoda kwa njia ya satellite? Maana ukizisearch unazinasa ila zinakuwa zimefungwa kwa VIACSSES,BETACRYPT,IRDETO mwenye maujanja ya unlock code atasaidie!!!!!!!

Buku 9 tu kwa mwezi unashindwa kulipa?
 
kiburudisho

unatia aibu wewe unawaza kuchakachua, huo nao ni ufisadi, wewe hata kupewa ofisi ya Umma hufai. ndio maana hatuendelei kila mtu anawaza wizi. shame upon u!!!!!!!
 
Hivi karibuni nilikuwa Morogoro nashangaa jamaa zangu pale wanaangalia Abood Television au kuwa na Ma-dish makubwa, nimejaribu kuuliza STAR TIMES wanasema haipo Moro....WHY? au kada wa CCM Abood kawakataza StarTimes aendeleze ukiritimba wa analogue? Tusaidiane maana hawa Makada wanajidai wanasaidia kumbe wanarudisha maendeleo nyuma. StarTimes mko wapi Morogoro?
 
kuchakachua sio mbaya kwa sababu inaonyesha kua technolojia imekua,pia wale hawalipi kodi,tatu kwakuuza tu hizo decoder bila malipo ya mwezi inawatosha kuwaingizia hela zakutosha kujiendesha,nne hizo channel zinafaa kuunlock lkn lazma uwe na hyo decoder na iunganishwe kwenye computa yenye program maalumu kwa ajili hyo,then unaunlock,hiyo mi nafanya lkn hela yake ni gali kidogo
 
Buku 9 tu kwa mwezi unashindwa kulipa?

Sidhani kama unaelewa wanachomaanisha. Wanachotaka ni kupata chanels nyingi Ambazo ni free to air sio kwamba anataka kuangalia bure,
Vipi kaka Nakuheshimu sna bana!,
Russia inaongoza kwa kuwa na Hackerz wengi na wanampaka rank za mahacker, na kwa kufanya hivo, ni ngumu sana kuhack systems zinazotoka Russia!

Huwezi kuimarisha ulinzi kama hujui mapungufu yako!
 
@ Reginamduma

Wewe unashangaa Star Times??, Uliza kama TBC inashika Morogoro!, Full kitu cha chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!, No signal alafu unakuta Abood ndo anarecodi vipindi vya TBC then Anavirusha, Full Makhirikhiri!
 
Huyo anayejidai hajui uchakachuaji haishi hapa tanzania kama kweli wangekuwa wanalipa kodi ktk nchi yetu tusingekuwa bado tuna shule za chini ya mwembe
 
jamani waoneeni huruma hao wenye makampuni coz czani kama wamesharudisha pesa walizoanzishia hyo ki2 hapa tz.:bange:
 
Startimes sio ya watanzania ni ya wachina sasa unaposema tuwaonee huruma nakuwa wala sikueleweni hata kidogo,na hao wanoiba mabilioni ya wananchi na kuyapeleka nje ya nchi mbona hamuwasemi? Thats why i hate politics and i hate politicians,nakumbusha tena hili sio jukwaa la malumbano ya siasa hili ni jukwaa la science and technology kama kuna mtu anaweza kuchakua au ana mawazo kuhusu hiyo mada hapo juu ndio achangie sio oooh huo ni wizi au huo ni ufisadi hamna mtu anayeshawishiwa aibe ila ni roho na moyo wake tu ndio unamtuma aibe,hao Wachina wasingekuwa wanahack website zinazoonesha new movies na kutuletea huku DVD ungeweza wewe kununua DVD moja kwa dola 50 badala ya sh 1500 au 2000 wewe?
 
WANA BAHATI SINA "KISOMO" NINGECHAKACHUA KILA KING'AMUZI NCHI HII NA KUGAWA MAUJUZI BURE HASA KWA WENZANGU TULIOTOKA SHULE ZA KATA USWAHILINI KUANZIA MBAGALA, TANDIKA NK, TENA NYUMBA KWA NYUMBA IKIBIDI. Wametuletea shule za kata ni JANGA. Kisasi chaja.
 
Startimes sio ya watanzania ni ya wachina sasa unaposema tuwaonee huruma nakuwa wala sikueleweni hata kidogo,na hao wanoiba mabilioni ya wananchi na kuyapeleka nje ya nchi mbona hamuwasemi? Thats why i hate politics and i hate politicians,nakumbusha tena hili sio jukwaa la malumbano ya siasa hili ni jukwaa la science and technology kama kuna mtu anaweza kuchakua au ana mawazo kuhusu hiyo mada hapo juu ndio achangie sio oooh huo ni wizi au huo ni ufisadi hamna mtu anayeshawishiwa aibe ila ni roho na moyo wake tu ndio unamtuma aibe,hao Wachina wasingekuwa wanahack website zinazoonesha new movies na kutuletea huku DVD ungeweza wewe kununua DVD moja kwa dola 50 badala ya sh 1500 au 2000 wewe?

Uko sahihi kabisa kuna mod kapoteza mod inaohusu kuhack tovuti utadhani hili ni jukuwaa la siasa au sheria.
 
Jambo wote wanaJF leo nimekuja tofauti kidogo na wengine japo wote ni uchakachuaji ila kwa njia tofauti mbalimbali. Kwa wataalam wa JF hakuna mwenye ujuzi wa kuchakachua hawa jamaa wa startimes na ting kwenye decoda kwa njia ya satellite? Maana ukizisearch unazinasa ila zinakuwa zimefungwa kwa VIACSSES,BETACRYPT,IRDETO mwenye maujanja ya unlock code atasaidie!!!!!!!

Kwani Ting inapokea matangazo yake kutoka satelite gani ?
Ebu tembelea kwanza hii thread tambua satelite inayorusha matangazo kweye madish ya ting https://www.jamiiforums.com/tech-ga...v-zote-duniani-zilizoko-kwenye-satellite.html.

baada ya hapo tunaweza kuendelea kudadavua google code zaidi za kuchaachua. Mkiwa zaidi ya watu wa tatu au wannemkakusanya knowledge nothing is impossible ila kazi ipo.
 
Back
Top Bottom