businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
Kwa maendeleo ya mafisadi
Watanzania wote mafisadi 2..sasa wewe unachakachua una tofaut gan na yule anayekula mali za uma???msijihesabie haki kabsa....
Kwa maendeleo ya mafisadi
kiburudisho
unatia aibu wewe unawaza kuchakachua, huo nao ni ufisadi, wewe hata kupewa ofisi ya Umma hufai. ndio maana hatuendelei kila mtu anawaza wizi. shame upon u!!!!!!!
Du!
Guys, give a break to these companies!...watalipanaje mishahara sasa?
Uko sahihi kabisa kuna mod kapoteza mod inaohusu kuhack tovuti utadhani hili ni jukuwaa la siasa au sheria.
Achaeni kuchakachua lipieni huduma kwa maendeleo ya taifa.:israel:
Watanzania wote mafisadi 2..sasa wewe unachakachua una tofaut gan na yule anayekula mali za uma???msijihesabie haki kabsa....
Sidhani kama unaelewa wanachomaanisha. Wanachotaka ni kupata chanels nyingi Ambazo ni free to air sio kwamba anataka kuangalia bure,
Vipi kaka Nakuheshimu sna bana!,
Russia inaongoza kwa kuwa na Hackerz wengi na wanampaka rank za mahacker, na kwa kufanya hivo, ni ngumu sana kuhack systems zinazotoka Russia!
Huwezi kuimarisha ulinzi kama hujui mapungufu yako!
teknolojia na siasa uwa haviendani kabisaaa, wanateknolojia ni kwa vitendo, siasa ni porojo. wanaotaka kulipa walipe, wapenzi wa uchakachuzi wachakachue, mambo ya kodi yanawahusu nyie, wachina unawaonea huruma? wanakujua wewe?
wengine ni hobi kuchakachua, kuanzia free calls mpaka chochote kile kinachowezekana kuchakachuliwa. hakuna anaelazimisha mwingine achakachue, ukiona ni wizi, lipia. sio kuleta porojo
mie huyoooo, narudi kucode...
Achaeni kuchakachua lipieni huduma kwa maendeleo ya taifa.:israel: