wadau nilitoa suala moja hapo juu kua hili suala linawezekana kuna watu wakaanza kunidis kiukweli nilimaind kwani hapa tunajifunza ili nasi tuweze kuendelea kutengeneza vitu vyetu wenyewe na huku ndo kunaonyesha kukua kwa techno,hata wachina waliaanza na vitu km hivi ndomana wapo hapo walipo,mfn ndomana kuna watu wanatengeneza virus ili wapate hela zakuuza antivirus,vyote hivyo ni maujanja,there4 sis kuchakachua vingamuzi hatukosei kwani tunaonyesha kukua kwa techno,nitaendelea kuwapa ujanja vizuri khs hili suala subirini nipate muda mzuri wakuandika na kupost enough material na yakueleweka,ndo naandaa hii elimu vizuri,subirini