Uchaguzi CCM: Waliopiga kura ya kumtoa Pinda kuadhibiwa

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Wale wote wa ccm waliopiga kura kwa Mh. Zito ili kupata uhalali wa kutoa hoja bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu watakatwa majina yao kati ya majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho kwenye kikao kitakachoongozwa na JK!
Source: Nipashe
 
Kuendelea kuishabikia, kuipenda, kuwa mwanachama wa CCM, ama uwe uko kwenye system au uwe na akili ya maiti au vyote viwili.
 
Mkuu wa visasi mda wake wa kujidai umefika, watakoma, ila haya yote yana mwisho
 
Hii itakuwa ni jambo la kheri kwa wale wate watakao ondolewa kwenye list ya kugombea. Kwa kukata majina yao, CCM wanaweka mstari kati ya wale wanaotetea maslahi mapana ya nchi na wengine ambao couldnt care less nchi inazama.
 
Hao ndio kawaida yao siku zote hawapendi watu wasema kweli,nijuzeni huyu Mh Chanji Lugola anagombea nafasi yoyote wakuu?
 
acha porojo wewe? kipindi cha nyerere wangeachwa lakini si kipindi hiki. nadhani wangeanza na akina mwakyembe, sita, magufuli lakini mpaka leo wako kwenye cabinet.
anyway, usijali wakiachwa watakamia chadema aka chama cha makapi ya ccm kama akina shibuda, slaa et al.
 
CCM kila kukicha wanajimaliza wenyewe, halafu wanatumia nguvu ya dola kulazimisha kukubalika. Inasikitisha kuona kuwa hawajui wafanye nini kurudisha imani ya watanzania kwa chama chao.
 
Back
Top Bottom