Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
zile mashine zina standby autamatic fire extinguishers cylinders jama 16 kwa kila machine ambazo kama zikipata alert signalzinarelease valves kuzuia moto usisambae..hicho ndicho kilichotokea,tushukuru maana ingekuwa janga kubwa sanaUpdated first post:
Ni kweli moto ulitokea mwendo wa saa 9 kasoro lakini ulidhibitiwa kabla hali haijawa mbaya. No serious damages
Hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa TANESCO